binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kama product zenye Salicylic acid zimeshindikana jaribu bidhaa zenye Benzoyl peroxide au Azeliac acid.
Ukisema umetumia bidhaa za CeraVe natatizika sababu si bidhaa zote za kampuni husika zinamfaa mtu mwenye Acne prone skin.
Kwasababu umeshaanza kujua hizo actives unazozihitaji kwaajili ya aina ya ngozi yako basi kuwa keen na product unazouziwa, hakikisha umesoma na kuelewa kilichopo. Nasikitika kusema wauza product wengi hawajui wanachofanya, alimradi mtu ana mtaji tu anaamua kuanza kutuuzia bidhaa, be keen.
Otherwise mtiririko wa matumizi wa product unaweza kufuatisha huo aliouweka Aliyah hapo juu. Kikubwa elewa unachotumia kina nini ndani yake, na kama kilichopo kinahitajika kwa ngozi yako.
Umesema pia una sensitive skin; Bidhaa yeyote yenye Oat itakufaa maana kazi ya bidhaa zenye oat ni kupooza ngozi.
Pole na kila heri.