Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs

Inafikia hatua ukimtizama mtu usoni, maada inabadilika anaanza kunishauri tena mara tumia sabuni ya ngwanji, mara Dettol soap, mara tumia lemon, mara paka mkojo wa punda. Wakati huu mimi nimetumia product kubwakubwa kama:

CeraVe, The ordinary products, Vovi deep pole cleanser, Nax n.k lakini ngoma bado, ndo maana nimeziita Chronical Acne

Naombeni ushauri, nitumie nini ili nikae vizuri, Au nifanye nini ili niwe na amani japo kidogo hata nikiwa mbele za watu... Mawazo yenu ni faraja kwangu.....

Sent from my JamiiForums mobile app[/URL]
Pole, hapo tatizo liko damuni, tezi aina ya sebaceous gland zinazalisha mafuta kuliko mahitaji ya ngozi , yanapoziba mafuta haya ndo huvimba ,hapo tunaita chunusi. Wasiliana nami kwa 0713 039 875 ,nione picha ya uso kwa ushauri bure
 
Kunywa maji mengi ,pumzika vya kutosha ,kula matunda sana ,olewa upelekewe moto kwa week mara tatu.
 
Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs

Inafikia hatua ukimtizama mtu usoni, maada inabadilika anaanza kunishauri tena mara tumia sabuni ya ngwanji, mara Dettol soap, mara tumia lemon, mara paka mkojo wa punda. Wakati huu mimi nimetumia product kubwakubwa kama:

CeraVe, The ordinary products, Vovi deep pole cleanser, Nax n.k lakini ngoma bado, ndo maana nimeziita Chronical Acne

Naombeni ushauri, nitumie nini ili nikae vizuri, Au nifanye nini ili niwe na amani japo kidogo hata nikiwa mbele za watu... Mawazo yenu ni faraja kwangu.....

Sent from my JamiiForums mobile app[/URL]
Hilo tatizo liko damuni ,kuna tezi zinaitwa sebaceous gland zinazalisha mafuta kuliko mahitaji ya ngozi. Lazima upate dawa ya kunywa na ya kupaka hasa mimea kama euphorbia hirta na warbugia ugandensis. Tuwasiliane kwa ushauri zaidi
 
Chunusi mm nilizipata nikiwa First year...ila zikaisha zenyewe...Wewe Tafuta tu mwenza anayekupa Amani
 
Sasa muhimu kwanza kabla ya product ni kutambua tatizonna kurekebisha mazingira Yako binafs kwanza
1.unatakiwa ubadilishe mlo kama mpenz wa junk food ni janga
2.pima hormone Kuna wakat ni mvurugiko wa hormone unaweza kazana na product kumbe shida ni hiyo
3.hakikisha una badilisha folonya za mito ya kulalia Kila baada ya siku 3
4.uistumbue chunusi Wala kushika shika uso pia hakikisha Kam unapaka makeup unatumia brash safi ni vema kma mpenz uwe na brash zako mwenyewe unaenda nazo saloon
5.kupona ni process sio muujuza acha kuchange product Kila wakat tumia moja sio chini ya miez miwil hata mitatu kuna product zinachelewa kukupa matokeo
6.kutibu chunusi na madoa ni Kosa anza na chunusi zikiisha ndio unatafuta ya kuondoa madoa ukiwa hujacontrol chunus kupona madoa ni ndoto na ukitumbua chunusi ni tatizo zaid
Toa somo shangaziiii!!!
 
Chukua mmea wa Alovera ukate katikati ule ute wake upake Usoni,... iache mpaka baad ya masaa mawili nawa uso wako na sabuni, hakikisha unatumia kila siku kwa muda wa Mwezi mmoja.

Chaguo la pili Kam utasindwa la kwanza basi fata hii, nunua mafuta ya nazi yapake usoni baada ya masaa mawili nenda kanawe uso ila kwa hii usinawe na sabuni.

Usipopona kwa kutumia mojawapo kati ya njia hizo basi Nipigwe Ban ya maisha humu JF.
Hii ya Alovera alitumia kaka, alipona kabisaa had leo hana chunusii.
 
Una mke au mume?
Sometimes dawa ya ngozi ni sex ..
Hasa kama tatizo ni hormones imbalances...
Unapaswa Ku sex mara Kwa mara ...utashangaa...ukiongeza na kuoga maji ya Bahraini Tu ... utashangaa Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom