Mm nisiposhave kwa siku 4 naanza kuwashwa, hii kitu inanikera mno, ikabidi nianze kutumia wembe, wembe umenipa vipele na ngozi kuwa na uweusi fulani hivi.Daah hapo kweli nimezingua. Sema kuna wakat zinashawishi kufanya vivyo, lakin nitajitahidi kuchumia jua ili nilie kivulini.....
Umeshaolewa?Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs
Inafikia hatua ukimtizama mtu usoni, maada inabadilika anaanza kunishauri tena mara tumia sabuni ya ngwanji, mara Dettol soap, mara tumia lemon, mara paka mkojo wa punda. Wakati huu mimi nimetumia product kubwakubwa kama:
CeraVe, The ordinary products, Vovi deep pole cleanser, Nax n.k lakini ngoma bado, ndo maana nimeziita Chronical Acne
Naombeni ushauri, nitumie nini ili nikae vizuri, Au nifanye nini ili niwe na amani japo kidogo hata nikiwa mbele za watu... Mawazo yenu ni faraja kwangu.....
Sent from my JamiiForums mobile app[/URL]
Nawe una changamoto hiyo ?Hii 1 mpaka 3 mmmh
Nawe una changamoto hiyo ?
Mimi nina vipele after shaving, wanaita razor bumps, sijui razor burn, aiseee hii kitu inanitesa sana.Nawe una changamoto hiyo ?
Mm nisiposhave kwa siku 4 naanza kuwashwa, hii kitu inanikera mno, ikabidi nianze kutumia wembe, wembe umenipa vipele na ngozi kuwa na uweusi fulani hivi.
Kuhus Ndevu sinahakika ngoja nimuulizie mahali nitakuletea jibu hapaMimi nina vipele after shaving, wanaita razor bumps, sijui razor burn, aiseee hii kitu inanitesa sana.
Wanasema niache ndevu zikue, nikiacha siku ya 3 tu, nawashwa maeneo ya ndevu na vipele vinatoka.
NITASHUKURU SANA MKUUKuhus Ndevu sinahakika ngoja nimuulizie mahali nitakuletea jibu hapa
Mkuu hou ni mkono wakoDaah asante sana, ni kweli kabisa salicylic acid ni nzuri sana, na ndo bidhaa nazo tumia sasa, sijui kuna vitu labda nakosea. Pia kujifukiza ni miongon mwa mbinu ambazo nishawahi fanya.
Nashukuru umeniongezea kitu.
Nitatafuta hiyo dawa ya minyoo,
View attachment 2841092
Mtafute mtu anaitwa nyawilitips Instagram. Ana skin clinic, atakusaidiaMimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs
Inafikia hatua ukimtizama mtu usoni, maada inabadilika anaanza kunishauri tena mara tumia sabuni ya ngwanji, mara Dettol soap, mara tumia lemon, mara paka mkojo wa punda. Wakati huu mimi nimetumia product kubwakubwa kama:
CeraVe, The ordinary products, Vovi deep pole cleanser, Nax n.k lakini ngoma bado, ndo maana nimeziita Chronical Acne
Naombeni ushauri, nitumie nini ili nikae vizuri, Au nifanye nini ili niwe na amani japo kidogo hata nikiwa mbele za watu... Mawazo yenu ni faraja kwangu.....
Sent from my JamiiForums mobile app[/URL]
Persol 5 gel ni nzuri sana au Benzolyperoxide gel pia anaeza tumiaTafuta dawa hii kwenye pharmacy
Persol 2.5gel pakaa mara moja kila siku usiku tu.
Ukiweza katika muda wote wa matibabu usipakae kitu chochote usoni isipokuwa dawa tu ukishindwa pakaa mafuta ya nazi.
Baada ya kupona tafuta body lotion for oily skin au yenye lemon hii itakuwa inasaidia kukamua mafuta kwenye ngozi,epuka kutumia product zenye cocoa butter huongeza mafuta mwilini pia punguza kula sana vyakula vyenye mafuta