hahahaha! Tena sio mpya kidogo. Alitalikiwa kisa alishindwa kuhudumia familia. Khaaa!Hii mpya.....
kazi ipo. Umeandika ukweli sana mpaka inatisha. Kama ulishindwa kuihudumia familia ya zamani, mpya utaiweza kweli? Kila la kheri mkuu.
hahahaha! Tena sio mpya kidogo. Alitalikiwa kisa alishindwa kuhudumia familia. Khaaa!
Jamani Lizzy...hujawahi kuckia VING'ASTI?
Mkuu hawa viumbe ukiwaambia ukweli umechemsha! si unaona wanavyokudesign sasa?, kabadilishe ID uje na uongo ndio watakuelewa.Mie ni kijana wa kinyamwezi tena dume la mbegu, dozi yangu kutwa mara 3...nina umri wa miongo mitatu na robo, sina elimu ya kutosha kupambana na ugumu wa maisha. Nina vipaji vya ufundi wa vifaa vya kielektroniki. Nilitalikiwa baada ya kushindwa kuhudumia familia yangu. Nahitaji mke atakayeniongoza katika kuwa na maisha bora yenye upendo na furaha. Sina ubaguzi wa rangi, dini, kabila wala umbo ili mradi uwe wa jinsia ya kike tu. Kama kuna mdada au mmama yuko intarestedi na siivii yangu aniandikie barua pepe: ndembezi@facebook.com
Hahaha usikute ni wewe!Mkuu hawa viumbe ukiwaambia ukweli umechemsha! si unaona wanavyokudesign sasa?, kabadilishe ID uje na uongo ndio watakuelewa.
mnh uliachwa kwa kushindwa kuihudumia familia yako,umefanya nini kuhakikisha hilo halitokei tena???...hakuna mwanamke asiyependa security,mwanaume unatakiwa kupambana ili kuilinda familia yako-financially...mie nahisi hapa hutopata mtu kama umeonyesha huo udhaifu.
Dah.! Humu cjui ka ntafanikiwa kweli. Kutalikiwa nshawaambia yalikuwa matatizo ya fedha tu. Sio kweli sikuweza kuitunza familia yangu bali mke nilokuwa nae ndo alikuwa hatosheki. Uwezo wa kununua chai na mandazi matano asubuhi, ugali dagaa mchana na wali nyanya chungu jioni ninao jamani. Hayo mengne ni tamaa tu.
Mkuu hawa viumbe ukiwaambia ukweli umechemsha! si unaona wanavyokudesign sasa?, kabadilishe ID uje na uongo ndio watakuelewa.