IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,675
Mie ni kijana wa kinyamwezi tena dume la mbegu, dozi yangu kutwa mara 3...nina umri wa miongo mitatu na robo, sina elimu ya kutosha kupambana na ugumu wa maisha. Nina vipaji vya ufundi wa vifaa vya kielektroniki. Nilitalikiwa baada ya kushindwa kuhudumia familia yangu. Nahitaji mke atakayeniongoza katika kuwa na maisha bora yenye upendo na furaha. Sina ubaguzi wa rangi, dini, kabila wala umbo ili mradi uwe wa jinsia ya kike tu. Kama kuna mdada au mmama yuko intarestedi na siivii yangu aniandikie barua pepe: ndembezi@facebook.com