Ninatafta mke

Ninatafta mke

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,807
Reaction score
1,675
Mie ni kijana wa kinyamwezi tena dume la mbegu, dozi yangu kutwa mara 3...nina umri wa miongo mitatu na robo, sina elimu ya kutosha kupambana na ugumu wa maisha. Nina vipaji vya ufundi wa vifaa vya kielektroniki. Nilitalikiwa baada ya kushindwa kuhudumia familia yangu. Nahitaji mke atakayeniongoza katika kuwa na maisha bora yenye upendo na furaha. Sina ubaguzi wa rangi, dini, kabila wala umbo ili mradi uwe wa jinsia ya kike tu. Kama kuna mdada au mmama yuko intarestedi na siivii yangu aniandikie barua pepe: ndembezi@facebook.com
 
kazi ipo. Umeandika ukweli sana mpaka inatisha. Kama ulishindwa kuihudumia familia ya zamani, mpya utaiweza kweli? Kila la kheri mkuu.
 
mimi ni kitu kimoja tu nataka unihakikishie....nitakuPM
 
Bora niseme ukweli kuliko kuja kuumbuka kwa kudanganya. Familia ya mwanzo sikushindwa kivile, ila Yf ndo alikuwa kichomi...anapenda ankara, makosmetiki, nguo za bei na kuspendi klabu kubwa kubwa kuliko hali halisi ya kipato changu. Ndio alivyoona siwezi kumtimizia hayo na kwa kuwa nia yake apate mbegu zangu coz mie kidogo ni HB, alipopata watoto akanambia nimpotezee, kila mtu aangalie mbele yake, alichotaka ameshapata. Hapo ndio akawa amenitaliki. Na ukizingatia kuwa damu bado inachemka, kuna haja ya kutangaza nafasi kwa mwenye kuhitaji.
kazi ipo. Umeandika ukweli sana mpaka inatisha. Kama ulishindwa kuihudumia familia ya zamani, mpya utaiweza kweli? Kila la kheri mkuu.
 
Mie ni kijana wa kinyamwezi tena dume la mbegu, dozi yangu kutwa mara 3...nina umri wa miongo mitatu na robo, sina elimu ya kutosha kupambana na ugumu wa maisha. Nina vipaji vya ufundi wa vifaa vya kielektroniki. Nilitalikiwa baada ya kushindwa kuhudumia familia yangu. Nahitaji mke atakayeniongoza katika kuwa na maisha bora yenye upendo na furaha. Sina ubaguzi wa rangi, dini, kabila wala umbo ili mradi uwe wa jinsia ya kike tu. Kama kuna mdada au mmama yuko intarestedi na siivii yangu aniandikie barua pepe: ndembezi@facebook.com
Mkuu hawa viumbe ukiwaambia ukweli umechemsha! si unaona wanavyokudesign sasa?, kabadilishe ID uje na uongo ndio watakuelewa.
 
rule 1. never tell the truth about your past until u get her.
rule 2. never tell that u r a loser, nor a user.
rule 3. never say u need some1 to lead u.
 
mnh uliachwa kwa kushindwa kuihudumia familia yako,umefanya nini kuhakikisha hilo halitokei tena???...hakuna mwanamke asiyependa security,mwanaume unatakiwa kupambana ili kuilinda familia yako-financially...mie nahisi hapa hutopata mtu kama umeonyesha huo udhaifu.
 
Dah.! Humu cjui ka ntafanikiwa kweli. Kutalikiwa nshawaambia yalikuwa matatizo ya fedha tu. Sio kweli sikuweza kuitunza familia yangu bali mke nilokuwa nae ndo alikuwa hatosheki. Uwezo wa kununua chai na mandazi matano asubuhi, ugali dagaa mchana na wali nyanya chungu jioni ninao jamani. Hayo mengne ni tamaa tu.

sasa ngoja nikupandie PM nikuulize kile kitu
 
Hapo umenena mkuu. Ngoja nisubirie ka cku 5 hivi, nikiona miyeyusho, naibuka kivingine tena najitambulisha mi mtoto wa Bakhresa.

Back
Top Bottom