Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Boss kama hauko comfortable mpe notice atafute sehemu aondoke mpe tarehe ikiwezekana, na ukiwa na huruma sana msaidie ingawaje hakuna shukrani utapata, hapo ni kwako huhitaji kutoa sababu ili wakuelewe, wanaume wengine viraka sana yaani miaka 30 bado unakaa Kwa shemeji, bora likakaee Kwa washikaji ulisaidie kodi
 
Kwa kizazi cha sasa upo sahihi kulihofia hilo, kuna baadhi ya ndugu ni washenzi sana licha ya msaada anaopatiwa kwa ndugu ili ajipange bado ataendekeza mambo ya kipumbavu na yakuharibu. Mifano ipo mingi sana, kuna kisa cha jamaa mmoja yeye alipita na watoto wa anko wake siri ilikuja kufichuka kwa mtoto wa mwisho kwa kufuma sms akimshawishi atoroke chumbani usiku ili akalale nae.
 
Wife anampenda sana mdgo ake wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Nina watoto wa kike 6 wenye range ya 3 years.

Huyu kijana[shemeji] analala humuhum na watoto japo vyumba tofauti.

Wasiwas wangu ni huyu ni wakiume na amebarehe anaweza akabaka watoto.

Mke anampenda mdgo ake ambaye ndio shemeji.

Nimempa Wife makavu....

Sujali amejisikiaje.... hapa kuna ugomvi na hanielewi

Nimemwambia ikitokea mdg ake amebaka hapa ndani basi ajiandae....

Je nimekosea?
Shemeji utakuwa na changamoto ya afya ya akili
 
Wife anampenda sana mdgo ake wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Nina watoto wa kike 6 wenye range ya 3 years.

Huyu kijana[shemeji] analala humuhum na watoto japo vyumba tofauti.

Wasiwas wangu ni huyu ni wakiume na amebarehe anaweza akabaka watoto.

Mke anampenda mdgo ake ambaye ndio shemeji.

Nimempa Wife makavu....

Sujali amejisikiaje.... hapa kuna ugomvi na hanielewi

Nimemwambia ikitokea mdg ake amebaka hapa ndani basi ajiandae....

Je nimekosea?

Umekosea sana, huwa atutoi matamko yasiyokuwa na solution, hayo ni Matisho!
 
Wife anampenda sana mdgo ake wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Nina watoto wa kike 6 wenye range ya 3 years.

Huyu kijana[shemeji] analala humuhum na watoto japo vyumba tofauti.

Wasiwas wangu ni huyu ni wakiume na amebarehe anaweza akabaka watoto.

Mke anampenda mdgo ake ambaye ndio shemeji.

Nimempa Wife makavu....

Sujali amejisikiaje.... hapa kuna ugomvi na hanielewi

Nimemwambia ikitokea mdg ake amebaka hapa ndani basi ajiandae....

Je nimekosea?
Lugha yako imekosa staha wanaume ukiwa na familia uongei sana wewe ni matendo tu . Muite fundi aje atengeneze Banda la bati nje muamishie shemeji yako huko kama umtaki ataondoka mwenyewe . Imeisha hiyo
 
Miaka 30 yupo kwa shemeji,timua huyo fisi maji
 
Back
Top Bottom