Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Kweli wamekuvuruga!

Ongea vizuri na mkeo nahuyo shem kwani hawezi kujitegemea??
Wasiwasi ndio akili!
Pole sana

Cc Smart911
 
Mtoa mada upo sawa shikilia hapohapo, dunia imeharibika mambo ya mjomba ni mama yalishaisha
 
Kuna viashiria gani unaviona mpaka useme huyo shemeji yako atabaka wanao wa miaka 3!!

Ana tamaa kiasi hicho mkuu au ni chuki zako kwake kisa mkeo anampenda mdogo wako kuliko wewe.
 
Wife anampenda sana mdgo ake wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Nina watoto wa kike 6 wenye range ya 3 years.

Huyu kijana[shemeji] analala humuhum na watoto japo vyumba tofauti.

Wasiwas wangu ni huyu ni wakiume na amebarehe anaweza akabaka watoto.

Mke anampenda mdgo ake ambaye ndio shemeji.

Nimempa Wife makavu....

Sujali amejisikiaje.... hapa kuna ugomvi na hanielewi

Nimemwambia ikitokea mdg ake amebaka hapa ndani basi ajiandae....

Je nimekosea?
Walinde mabinti zako, namshangaa sana huyo mwanamama mwenzangu. Matukio mabaya haya mara nyingi sana hufanywa na watu wanaowafahamu watoto, wanaoishi nao nyumba moja. Ondoa huyo shemeji, wewe ndio baba wa familia toa tamko
 
Hii point kubwa san
 
Kuna viashiria gani unaviona mpaka useme huyo shemeji yako atabaka wanao wa miaka 3!!

Ana tamaa kiasi hicho mkuu au ni chuki zako kwake kisa mkeo anampenda mdogo wako kuliko wewe.
Hujui lolote kuhusu watoto mby zaidi hata wakiume laxima uwe makini.mwehu wewe
 
Kimsingi
Wanaokupinga hawana familia
Niliongea na wife ila anahisi nimemtukania familia yake.

Binafsi nimejilipua kwamba kama sijawahi kuonyesha rangi yangu nilieleza kwamba nipo kwa ajili ya kupigania watoto. Wanaume wanalala na watoto.wao, mwanaume alieoa alale na mkewe au alale pekaake chumba separate...

Usijione umejenga nyumba una haki kulala na wanao..utawafanya tu siku makalio au wakibalehe...

Siku ikitokea mwanangu amelalamika juu ya huu upuuzi kituo cha kwnza ni polisi. Pili ni kukata mboo ya shemeji

Nitaibanika kama mshikaki..na nitaitisha kikao kuonyesha mboo iliyochomwa kama mshkaji kwamba imefanya jambo baya
 
Unaongea Sana PUMBA ukosefu wa mantiki ni mkubwa Sana katika maongezi yako.
 
Back
Top Bottom