Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Tuanzie hapo kwanza🤒Miaka 30?? Yupo kwa dada??? Na wewe umekaa kimya?? Au ngoja niulize wewe ndo umeoa au mkeo ndo kakuoa?
Watu wanapata wapi guts kukaa kwa mtu after 25? Mbona mimi siwezi...tena mtoto wa kiume🤣🤣🤣 Tuanzie hapo kwanza🤒
Wewe ni baba bwege.Wife anampenda sana mdgo ake wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Nina watoto wa kike 6 wenye range ya 3 years.
Huyu kijana[shemeji] analala humuhum na watoto japo vyumba tofauti.
Wasiwas wangu ni huyu ni wakiume na amebarehe anaweza akabaka watoto.
Mke anampenda mdgo ake ambaye ndio shemeji.
Nimempa Wife makavu....
Sujali amejisikiaje.... hapa kuna ugomvi na hanielewi
Nimemwambia ikitokea mdg ake amebaka hapa ndani basi ajiandae....
Je nimekosea?
SadWatu wanapata wapi guts kukaa kwa mtu after 25? Mbona mimi siwezi...tena mtoto wa kiume
Hivi ukiwa unaishi kwa shemeji, halafu mfano itokee usiku wamegombana, asubuhi dada akatimuliwa arudi kwao.Miaka 30?? Yupo kwa dada??? Na wewe umekaa kimya?? Au ngoja niulize wewe ndo umeoa au mkeo ndo kakuoa?
😅😅😅Umeandika kama unaning'inia kwenye nyaya za SGR
Hili swali waulize wanaume maana mimi sina jibuHivi ukiwa unaishi kwa shemeji, halafu mfano itokee usiku wamegombana, asubuhi dada akatimuliwa arudi kwao.
Wewe nae unaondoka au unabaki..? 😀😀
Si hata wa kike unaweza ukawa unaishi kwa dada yako.Hili swali waulize wanaume maana mimi sina jibu
Binafsi sijawahi...kwa umri huo inabidi jinsia yoyote awe anajitegemeaSi hata wa kike unaweza ukawa unaishi kwa dada yako.
shemeji yako wa miaka 30 ndo amebalehe auWife anampenda sana mdgo ake wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Nina watoto wa kike 6 wenye range ya 3 years.
Huyu kijana[shemeji] analala humuhum na watoto japo vyumba tofauti.
Wasiwas wangu ni huyu ni wakiume na amebarehe anaweza akabaka watoto.
Mke anampenda mdgo ake ambaye ndio shemeji.
Nimempa Wife makavu....
Sujali amejisikiaje.... hapa kuna ugomvi na hanielewi
Nimemwambia ikitokea mdg ake amebaka hapa ndani basi ajiandae....
Je nimekosea?
ina maana atakua ndiye nyani waliokata nyaya 🐒Umeandika kama unaning'inia kwenye nyaya za SGR
Kwa comments zako, utasaidiwa na Diddy tu baada ya kupakwa mafuta.Adui wa mwanaume ni mwanaume ,Tusapotiane wakuu maisha ndio haya haya