Ninatafuta furaha naipata kwa hila

Miaka 30?? Yupo kwa dada??? Na wewe umekaa kimya?? Au ngoja niulize wewe ndo umeoa au mkeo ndo kakuoa?
 
Wewe ni baba bwege.

Ulitakiwa kuja hapa kutupatia mrejesho na sio mashtaka. Ulitakiwa kuja na kusema "shemeji yangu wa miaka 30 aliyekuja kuishi kwangu nimemuondoa sababu nina watoto wa kike simuamini".
Hukutakiwa kuja na ngonjera na vitisho na kauli za kiwendawazimu eti "ikitokea amebaka wife ajiandae"

Kwahiyo baba bwege unasubiri wanao wabakwe ndio uchukue hatua?

Mwanaume mwenye miaka 30 anayeishi kwa dada yake unadhani ana akili sawasawa na aya si ndio? Fukuza hilo kula kulala.
 
Miaka 30?? Yupo kwa dada??? Na wewe umekaa kimya?? Au ngoja niulize wewe ndo umeoa au mkeo ndo kakuoa?
Hivi ukiwa unaishi kwa shemeji, halafu mfano itokee usiku wamegombana, asubuhi dada akatimuliwa arudi kwao.

Wewe nae unaondoka au unabaki..? πŸ˜€πŸ˜€
 
Msaidie akapange chumba hata cha elfu 30 ili atoke hapo home, akibisha fukuza kabisa.

Inakuaje mwanaume wa miaka 30 anakaa na Dada..
 
Hivi ukiwa unaishi kwa shemeji, halafu mfano itokee usiku wamegombana, asubuhi dada akatimuliwa arudi kwao.

Wewe nae unaondoka au unabaki..? πŸ˜€πŸ˜€
Hili swali waulize wanaume maana mimi sina jibu
 
Watu siku hizi wananza balehe na miaka 30! We haupo sawa aisee!
 
shemeji yako wa miaka 30 ndo amebalehe au
 
Dunia ina maajabu,miaka 30 unasema huyu kijana atakuwa kabalehe?huyo si ni babu kabisaa infant huyo mwanao wa miaka 6 ndio mke wake hadi muda huu.....huyo mke wako hana akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…