binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Tulikubaliana mahubiri uyahamishie inbox au? πBasi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake;ππππ
Yohana 18:11
Jamani huwa siingii kwa mtu bila ukaribisho ujueπTulikubaliana mahubiri uyahamishie inbox au? π
Haya subiri nipike pilau nikualike πJamani huwa siingii kwa mtu bila ukaribisho ujueπ
Huo ndio ukweli kabisaNimeelewa sana kipande hiki cha mwisho cha maneno uliyoandika kwa herufi kubwa mzee mwenzangu.
Hahaaaa Mzee Nina uzoefu kidogo na hao wanawake maana hata mi pia nimepitia sana hiyo Hali ya ujuani, jeuri na nyodo za wanawake ndio maana natoa nimetoa hiyo theoryMwamba unatumia kinywaji kama vipi weekend moja nikualike tukae chini tunalize kilo 3 za nyama wakati ukinielezea utaalamu wako hadi ukaweza unda maneno mazito namna hii aiseee , dah umepatia sana mzee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nadhani ulishawahi sikia mwanaume analia na kupiga magoti kuomba mwanamke asimuache, hii hutokea kwa mwanamke ambaye ni wife material tuuuuuu basi. Sasa huyu dada kasema yeye ndio kamuacha mwamba na mwamba wala halii hapo jua mwanamke ana u superstar ndani na jamaa kimoyomoyo kafurahi kinona KUACHWA.Haya maneno ya herufi kubwa ni mazito sana na yanatakiwa kuwa sehemu ya bible kitabu cha agano jipya.
Ngoja niwa ignoreUnajipa taabu tu kuwajibu, ungewapuuza.
Umesemaje Hapo Nifah ?Adela hajayaelewa bado, mwanamke akiyaelewa atakungβangβania hadi umuoe.
Haya subiri nipike pilau nikualike π
ππππππ hakunaKipo kikuchekeshacho pisikali wewe
Atiririke watu wajifunze kupitia real life eksipiriensi. Avae ujasiri[emoji1787]Akupe story kama nani kwani una vigezo anavyotaka.
Mtu kaja kutafuta mwenza wewe unaandika magazeti kibao unacommand akwambie walivyoachana na unatoa mawaidha.
Ungekuwa a real man ungeenda PM ukapata mawasiliano na hayo unayotaka ungejua mbele ya safari. Hii sio interview ya kazi.
Kizazi kinaisha kwani hana watoto?Badala ya kumtafuta mwanaume atakayekuelewa unaweka tena vigezo vya masters na Ph D, huo umri utakuja kukosa kabisa karibia kizazi kinaisha stuka wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia hasira nyingi sehemu isiyohusika. Hizi hasira ungetumia shambani ungekuwa upo ekari ya tatu saa hii. Au kama ungetumia kunyonyoa kuku, ungekuwa umemaliza banda zima la kuku 2000.Akupe story kama nani kwani una vigezo anavyotaka.
Mtu kaja kutafuta mwenza wewe unaandika magazeti kibao unacommand akwambie walivyoachana na unatoa mawaidha.
Ungekuwa a real man ungeenda PM ukapata mawasiliano na hayo unayotaka ungejua mbele ya safari. Hii sio interview ya kazi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Apia? Na bado uko singo
Teh!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Michezo ya utotoni hii. Ujinga ulikuwa mwingi.
Me PhD niitoe wapi?
Age yangu ni 38. Hutaki basi boss
Utawezana na kibebiπ€Sijui nijilipueee