Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Mwamba unatumia kinywaji kama vipi weekend moja nikualike tukae chini tunalize kilo 3 za nyama wakati ukinielezea utaalamu wako hadi ukaweza unda maneno mazito namna hii aiseee , dah umepatia sana mzee [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa Mzee Nina uzoefu kidogo na hao wanawake maana hata mi pia nimepitia sana hiyo Hali ya ujuani, jeuri na nyodo za wanawake ndio maana natoa nimetoa hiyo theory
 
Haya maneno ya herufi kubwa ni mazito sana na yanatakiwa kuwa sehemu ya bible kitabu cha agano jipya.
Mkuu nadhani ulishawahi sikia mwanaume analia na kupiga magoti kuomba mwanamke asimuache, hii hutokea kwa mwanamke ambaye ni wife material tuuuuuu basi. Sasa huyu dada kasema yeye ndio kamuacha mwamba na mwamba wala halii hapo jua mwanamke ana u superstar ndani na jamaa kimoyomoyo kafurahi kinona KUACHWA.
 
Badala ya kumtafuta mwanaume atakayekuelewa unaweka tena vigezo vya masters na Ph D, huo umri utakuja kukosa kabisa karibia kizazi kinaisha stuka wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kwa hizo sifa ulizotaja mtu anakuwaje single sasa?, Kwamba alikuwa anakusubiri wewe au, Sasa sikia kwa huo wasifu wako chagua kuishi mwenyewe au upate pasua kichwa
 
Akupe story kama nani kwani una vigezo anavyotaka.
Mtu kaja kutafuta mwenza wewe unaandika magazeti kibao unacommand akwambie walivyoachana na unatoa mawaidha.

Ungekuwa a real man ungeenda PM ukapata mawasiliano na hayo unayotaka ungejua mbele ya safari. Hii sio interview ya kazi.
Atiririke watu wajifunze kupitia real life eksipiriensi. Avae ujasiri[emoji1787]
 
Akupe story kama nani kwani una vigezo anavyotaka.
Mtu kaja kutafuta mwenza wewe unaandika magazeti kibao unacommand akwambie walivyoachana na unatoa mawaidha.

Ungekuwa a real man ungeenda PM ukapata mawasiliano na hayo unayotaka ungejua mbele ya safari. Hii sio interview ya kazi.
Umetumia hasira nyingi sehemu isiyohusika. Hizi hasira ungetumia shambani ungekuwa upo ekari ya tatu saa hii. Au kama ungetumia kunyonyoa kuku, ungekuwa umemaliza banda zima la kuku 2000.

Anyways ngoja nikujibu tu ili upate virutubisho. Nimemuhoji sababu ni muhimu kujua alipotoka alijikwaa jiwe gani.

Sijamuuliza kwa maana ya kutaka kujua mambo yake ila ni kwaajiri ya kufahamu alipotokea alishindwana na mwenzake eneo gani majibu yake yatakuwa msaada mkubwa sana kwa wachumba ambao watavutiwa na wito wake wa kutafuta mume.


Kinyume chake anaweza rudia makosa yale yale ya awali kwa mtu mpya.
 
Back
Top Bottom