Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).

Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Mamdogo hata kapicha hamna kweli? Anyway Nina anko wangu amestaafu ana hivyo vigezo vyote japo kwenye ajira baada ya kustaafu huwa analinda kwa wahindi so vihela vya pombe hakosi kabisa japo ni msabato ila anakunywaga konyagi au pombe mwitu sababu ya kupoza baridi akiwa lindoni usiku
Ngoja nikuunganishe naye muyajenge
 
Elimu ya degree masters au PhD
Vita ni ngumu mno

images - 2023-11-15T074149.603.jpeg
 
Not really
Inner story Mimi nimeacha sijaachwa. Hata yeye anatamani turudiane Ila nikipita ni me pita. Ilikuwa ndoa na sio uhuni.
Anyways u have the right to voice up your opinions.
wanawake wa sasa wapumbav sana, akili ya kijinga sana hii, unajisifu ujinga ilihali watoto ndiyo wanaoumia

dronedrake kuna chimbo huku mwamba. Acha kupiga nyeto kula chuma hiki
hapana, babycare yangu ni bora kuliko huyu null set
 
Wewe kweli gubegube kubwa.

Unajuaje kama mume alimtesa dada wa watu akaamua kuondoka akaishi peke yake? Unafikiri kuna mwanamke anayependa kuachana na mume wake?

Halafu kwanini iwe yeye ndio kaachwa/kukimbiwa?
Hata sisi wanawake tunaacha pia.
Inajulikana hivyo kwamba mwanamke akiwa tu msomi kuliko mumewe, harafu akawa na hela basi humo ndani ni sodoma na gomola maana anakuwa superstar nyodo kama zote kama thread ja mwamba mmoja anaelalamika humu baada ya kumsomesha mkewe. Hatujasikia upande wa pili ila mi ninachojua pia ninachoamini na pia ndio ukweli wenyewe HAMNA MWANAUME YEYOTE ATAKAE KUBALI KUMUACHA AU KUACHWA NA WIFE MATERIAL hilo halipo
 
Back
Top Bottom