Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Kwasababu mwanamke ndie anavunja mahusiano kiuhalisia. Hatusemi wanawake wote huwa wanastahili kulaumiwa ila 99% lawama lazima zije kwa mwanamke sababu ndie kisababishi cha migogoro mingi ya mahusiano kwasababu ya namna mnachukulia mahusiano na wanaume plus tabia za kufanya maamuzi kwa kutumia msukumo wa hisia badala ya akili au logic.Ndugu kuoana ni process ambayo huanzi tu ukajikuta kanisani.
Hapo katikati kuna kusomana na kuangalia kipi kinabebeka na kipi hakibebeki.
Alafu mbona watu wanapoachana lawama zote au mabaya yote anatupiwa m wa mwanamke? Kwani hakuna wanaume wenye tabia zisizofaa na Hivyo kuharibu ndoa?
Huwa sijibu negative comments lakini kiroho safi nimejikuta nakuelewesha.
Fuatilia mahusiano mengi yanapositishwa ni mara chache sana ukute mwanaume ndie anayetaka yaishe mara nyingi ni wanawake sababu ya insecurities na discomforts zao.
Na shida inaanza na eneo la accountability kitu ambacho wanawake wa kileo hamna hata kidogo. Tukianza kuelezea hapa kwann wanawake ndio wa kulaumiwa utaona mnavyojitetea kwa kukubali makosa kisha kusema mlisababishiwa.
So let's be clear and honest katika hilo eneo.