zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kuwekeza si biashara pia maana ndio amesema hivyoWapi kasema anaenda kufanya biashara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwekeza si biashara pia maana ndio amesema hivyoWapi kasema anaenda kufanya biashara?
Kuna uwezekano akawa anachukua laki 5 kila mweziKwa Calculation za UTT ule mfuko ambao utakuwa unachukua kwa mwezi salio. Unaonza kutoa ikifika 10 kwa hiyo 50M utakuwa unachukua Tsh ngapi kwa mwezi. Au hujaufanyia utafiti huu.
Wapi kasema? Anataka tu mmuruhusu achukue,mwenyewe atajua ya kazi gani. Msipaniki. Jibu ni chukua au acha. SimpoNaona unachukua mkopo ili ndio kwanza uanzishe biashara mpya 😂😂😂...
Kila kheri mkuu
Habari za asubuhi wadau.Kuwekeza si biashara pia maana ndio amesema hivyo
Kweli mkuu nimekuelewa ila mkono umetereza kwa majibu ya mdau mmoja hapoMkuu sio Kila anaechukua mkopo ni kapuku
Hizo arthmetic za nini? Kasema anataka ya kufanyia biashara?elewa, kwa 90m, for 9 yrs..simple arithmtic lazima arejeshe 850,000ths a month hapo hakuna mchanganuo..whatever biashara lazima alipe 850,000 ths a month
Wewe una zaidi ya miaka 60?Sijawahi kuchukuwa mkopo wala baba yangu hajawahi kuchukua na alikuwa na biashara zake Tatu akianza akiwa na miaka 20 tu
Mimi nimefanya kazi ya kuajiriwa sambamba na biashara na sijawahi kuchukua mkopo
Leo nina miaka zaidi ya 60 na nina uwezo wa kununua hata nyumba kubwa ya 200m bila shida yoyote na ni cash
Mimi sio masikini hata familia yote
Ila ukitaka uwe na nidhamu ya hela save sana bila kutegemea mkopo, achana na mwenye mamilioni huyo huwezi kujua amechukua mkopo kwa mkataba wa aina gani na aliempa
Mimi naweza kumpa mtu mkopo wa bila riba kwa sharti la kurudisha baada ya mwaka mmoja, na ndio nafanya na ndugu zangu
Nilichukua mkopo wa mwezi mmoja wa 80m nilipopata dili la chap chap na nikatengeneza 20m kwa wiki 3
Nilimrudishia mshkaji wangu 80 yake bila senti ya ziada na kumuambia nimepata 20m profit
Hapo hatuna riba na maisha yanaenda boss
Sio sifa wala nini bali haya ndio maisha yetu kiuhalisia
Uwe na siku njema
1. Kwanza kabisa hajaomba ushauli wa biashara gani afanye. Yeye ameuliza tu achukue mkopo au aache!Nunua Bajaji 7, Kila siku Hesabu 15,000/- x 7= 105000 per month ni 3,150,000/- toa marejesho 833,000/- au Tena unaweza ukalipa marejesho Mara 3 ie 2499000
Kwani tulisoma wote?Wewe una zaidi ya miaka 60?
Kama kushauriwa kashashauriwa na members wengine1. Kwanza kabisa hajaomba ushauli wa biashara gani afanye. Yeye ameuliza tu achukue mkopo au aache!
2. Naona mchanganuo wako ni faida tupu. Hasara wapi? Una uhakika gani kama zitatembea miezi hata mitatu? Kila siku? Hilo halipo
Biashara ya tents kwa sasa maeneo mengine imeingia mdudu.Chukua mwanangu, alafu toa 10M katengeneze Tent za kukodisha 5, kwa mwaka jiwekee kurudisha mkopo kwa kiasi cha 10M ndani ya biashara zako tu. Tent pekee kwenye hio 10 zinakupa 5M, hio 5M nyingine angalia 40M utaiwekeza wapi.
Zipo nyingi sana chief Cha muhimu ni consistency tu kwenye jambo lako maana mwanzoni hua ni pagumu mpaka u colonize territory yako ndio hio laki per day inakua kama buku tuMkuu mimi nafuatilia comment za wadau maana nami ni mdau mkubwa wa haya mambo. Namna ulivyoandika weqe ni rahisi sana ila kiuhalisia unadhani ni issue gani ya kukupa faida hiyo per day
Yap maana kuna mwenye 10 M anachukua kama 90K hivi.Kuna uwezekano akawa anachukua laki 5 kila mwezi
Ni muono wako, hamna shida. Unadhani ni jamii ngapi Tanzania wanaweza kufanya kitu mlichokifanya nyinyi..?Biashara ya tents kwa sasa maeneo mengine imeingia mdudu.
Mfano hapa mtaani kwangu "wanazengo" tumechangishana na kununua tents na viti vyetu ni free ukiwa na shughuli yako.
Kanisani napo "kigango" chetu tumechangishana kuna tents ukiwa na shughuli utalipia usafiri tu ila asiyemuumini ndiyo anatozwa.
Katika mazingira yangu,hiyo biashara tayari ni kichaa.
Nimekupata MkuuKweli mkuu nimekuelewa ila mkono umetereza kwa majibu ya mdau mmoja hapo
Nao kila anae comment humu wanadhani njaa zimemleta hapa
Yaani forums za wenzetu ni tofauti kabisa na ya kwetu kwani wao wanaulizna na kujibiana tu na kama hata mtu akisema ndege yangu imepata hitilafu huwezi ona mtu anabeza bali watamuuliza ni aina gani ya ndege
Sasa njoo humu ukosema nina baiskeli wanakuambia huna hadhi ya baiskeli wakati hajui kama uko Vietnam au malagarasi
Umasikini wakati wote ni shida tu daa
kunufaika na mkopo ni entirely juu ya mkopajiAsilimia 99 ya watumishi hawanufaiki na mikopo wakopayo,wao wamekuwa waneemesha mabenki
kuna unforeseen hapa katikati...take those into consideration. chukua mkopo kwenye viable investmentNina miaka 30+ mbele ndo nistaafu Mkuu
😃😃Ela=Hela. Usichukue huo mkopo!
Kwa miaka tisa kila mwezi atakua anakatwa 800k plus ili kufikia hiyo 90MYap maana kuna mwenye 10 M anachukua kama 90K hivi.
Hii vipi mkuu. Pamoja na hiyo 500K, bado anauhakika wa kuchukua 50M yake yote.