Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hahaaaaa. Sijui umewaza nini kwa hili jibu mkuu.Kutoa jicho mchezo okoteni asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa. Sijui umewaza nini kwa hili jibu mkuu.Kutoa jicho mchezo okoteni asee
Wapi kasema? Anataka tu mmuruhusu achukue,mwenyewe atajua ya kazi gani. Msipaniki. Jibu ni chukua au acha. Simpo
Top Up.Benki gan wanatoa mikopo ya watumishi kwa zaidi ya miaka 7 mkuu.
Nenda Azania bank riba ipo chini 14%Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Wacha kuogopa. Hiyo 40,000,000 ni kubwa kitarakimu. Ila kwa muda waliokupa ni sawa. Maana yake unarejesha wastani wa shilingi 375,000 kwa mwezi au shilingi 12,500 kwa siku. Kitu ambacho kinawezekana. Angalizo langu. Kama unauchukua huo mkopo uwe ni biashara endelevu,ambayo unajua faida na changamoto zake. Lakini kama ni biashara ya kuanza. Mhh kalagabhahoHabari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Habari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitat
Kingine, je ashaanza kuwekeza hivyo anaongeza uwekezaji? Au unaanza 0?Miaka 9 ni mingi sana kwa mkopo, ukichukulia unalipa interest kubwa.
Huwezi kuchukua kwa angalau miaka 2 uangalie upepo unaendaje kwanza?
Huo uwekezaji huwezi kufanya kwa awamu?
Naoaga mkopo wa miaka mingi una riba ndefu sana ni bora uchukue wa muda mfupi wenye riba ndogo huku ukiangalia progress ya jambo lako.Niliconsider na Muda pia nikaona ingekua better kama ningechukua mkopo mkubwa niuwekeze now kuliko kuchukua mdogo....niliona Io 50M nkiwekeza now after 4 yrs itakua imezalisha sana ...ila riba ndo ikanitoa stimu naona bank watafaidika sana
Hapana. Posts zote za nini? Mada yenyeweSoma post #8
Hii ya magazeti mpyaa sijawahi isikia lakini nimekuwa nikiona magazeti ya shoprite na pik and pay bongo najiuliza hii vp tena???kumbe ni mchongoNimeishi,nime experience uchawi kwenye biashara chief. Una haki ya kusema ni ujinga kutokana na experience za lifestyle yako lakini sio kuleta outright dismissal ya hoja yangu.
Anyway kwa pesa hiyo mdau anaweza kuagiza truck ya gazeti toka South Africa kwa m36 kila kitu. Huko Tz atauza 45-49 m kwa mzigo wote ndani ya siku 30. Pia kuna biashara ya mafuta kama vaseline,Nivea lotion/deodorant, kuagiza pombe Kali nayo ni big money.
Kazi za kufanya zipo lakini ibada,matambiko au ndumba za ulinzi muhimu. You must be strong spiritually kwenye harakati za utafutaji
Sasa tutakushauri nini hapo maana hiyo investment unaijua wewe labda kama ungetuambia unataka kufanya investment gani ili tukushauri kama inaworth itInvestment Mkuu
Mh..hiyo kaliAhsante Mkuu ..huu mkopo sifanyii biashara...nataka nikauwekeze kwenye mutual fund ninufaike na compound interest
Hiyo ni kweli ...wabongo tuna nongwa sana mimi huwa napiga fix Quora digest na wazungu wanamwaga ushauri kama wote njoo humu sasa unasema ukweli unaitwa muongo.Kweli mkuu nimekuelewa ila mkono umetereza kwa majibu ya mdau mmoja hapo
Nao kila anae comment humu wanadhani njaa zimemleta hapa
Yaani forums za wenzetu ni tofauti kabisa na ya kwetu kwani wao wanaulizna na kujibiana tu na kama hata mtu akisema ndege yangu imepata hitilafu huwezi ona mtu anabeza bali watamuuliza ni aina gani ya ndege
Sasa njoo humu ukosema nina baiskeli wanakuambia huna hadhi ya baiskeli wakati hajui kama uko Vietnam au malagarasi
Umasikini wakati wote ni shida tu daa
Tatizo ni sehemu uliokulia kama ni sehemu wengi waongo na kusema ukweli ni mwiko kwao basi wanakuwa waongo mpaka wanazeeka na ukweli pia wanaona uongo tuMh..hiyo kali
Hiyo ni kweli ...wabongo tuna nongwa sana mimi huwa napiga fix Quora digest na wazungu wanamwaga ushauri kama wote njoo humu sasa unasema ukweli unaitwa muongo.
YapHii ya magazeti mpyaa sijawahi isikia lakini nimekuwa nikiona magazeti ya shoprite na pik and pay bongo najiuliza hii vp tena???kumbe ni mchongo
Mimi kama mchumi nakushauri chukua mkopo wa kati ya miaka miwili na mwaka mmoja utatembea vizuri sana. Kwa hiyo hesabu hapo maana yake wewe unaweza kupata milioni 9 kwa mwaka. Kisha baada ya mwaka unakopa tena tisa kwa mika 9 utakuwa umekopa 81m. Kama ni biashara au mradi utakuwa umetanuka san
Uamuzi mzuri,Kwa moyo wa dhati kabisa napenda kuwashukuru nyote mlionisapot kimawazo kupitia Uzi huu....nimeamua kuchukua huo mkopo Kwa moyo mkunjufu mengine Mungu atanisaidia
HahahaUamuzi mzuri,
Jioni tukutane kidimbwi kusherehekea mkopo huo. 😂😂😂😂😂