Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Hapo wastani wa 834,000/=Tsh rejesho kwa mwezi. Bado sio mbaya ingawa kwa 16% ilibidi urudishe 72,000,000/=Tsh (Milioni sabini na mbili tu)
 
Afu sjui kuna watu wengne mnakuaga vilaza viazi yan unataka kopa 50 million af unatafta ushauri kwa watu ata usio wajua na wakat mwingne unaomba ushauri kwa watu ambao hawajawai fanya biashara
Mkuu usiidharau nguvu ya JF. Inawezekana jamaa anayo maamuzi tayari mpaka kufikia hapo ila anachohitaji ni maoni kidogo tu sasa kupitia hapa anaweza pata jambo jipya akaliongezea kwenye maono yake. Lakini pia hii ni faida kwa wengine pia tunajifunza kupitia maoni ya watu wengine.
 
Sijaelewa.
Mkopo 50M
Riba 16% = 8M
Mkopo + Riba = 58M

Sasa hiyo 90M rejesho inatoka wapi?
Wakati tunasoma hesabu wew ulikuwa unaweka vioo chini ya sket za wadada πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Btw, hio uliofanya wew ni kwa mwaka mmoja, kwa kuwa ni miaka 9 inabidi utumie ile formula ya kutafuta interest ambayo ni
I= PRT/100

P kianzio au Mkopo
R Riba
T Muda ambapo katika kesi yetu ni miaka 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…