Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #121
Ndoivyo MkuuView attachment 2834519
Nimecheki hesabu hapa mkuu, Go for it Champ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoivyo MkuuView attachment 2834519
Nimecheki hesabu hapa mkuu, Go for it Champ
Inaonekana upo sekta yenye maokoto mengi sanaaaaNina miaka 30+ mbele ndo nistaafu Mkuu
Benki gan wanatoa mikopo ya watumishi kwa zaidi ya miaka 7 mkuu.Mi binafsi nilichukua mkopo 2018 na itaisha 2030
Na umeninufaisha sanaaaa.
#YNWA
Ndoivyo Mkuu
Unayo hyo guarantee ya kubaki kwenye hyo kazi kwa miaka 9? Kesho ukifukuzwa itakuaje?View attachment 2834525
Ila pia unaweza opt kusave hio 900k ya makato kila mwezi kwa miaka 9 na ukawa na 195M
Uzuri wa compounding the Early the betterView attachment 2834525
Ila pia unaweza opt kusave hio 900k ya makato kila mwezi kwa miaka 9 na ukawa na 195M
Hapo kwenye calculator umekosea interest haiwi compounded monthly ni annually.View attachment 2834519
Nimecheki hesabu hapa mkuu, Go for it Champ
Inaonekana upo sekta yenye maokoto mengi sanaaaa
Guarantee ipo...tujiwazie mema kama Mungu anavotuwaziaUnayo hyo guarantee ya kubaki kwenye hyo kazi kwa miaka 9? Kesho ukifukuzwa itakuaje?
Mkuu,nmekuuliza. Kuna mikopo ya watumishi kwa zaidi ya miaka 7? Maana hyo ya kukopa kurudisha kwa muda wa miaka Tisa ndo nmeiona hapaGuarantee ipo...tujiwazie mema kama Mungu anavotuwazia
Ipo MkuuMkuu,nmekuuliza. Kuna mikopo ya watumishi kwa zaidi ya miaka 7? Maana hyo ya kukopa kurudisha kwa muda wa miaka Tisa ndo nmeiona hapa
CrdbBenki gan wanatoa mikopo ya watumishi kwa zaidi ya miaka 7 mkuu.
Kawaida tu MkuuInaonekana upo sekta yenye maokoto mengi sanaaaa
Mkuu usiidharau nguvu ya JF. Inawezekana jamaa anayo maamuzi tayari mpaka kufikia hapo ila anachohitaji ni maoni kidogo tu sasa kupitia hapa anaweza pata jambo jipya akaliongezea kwenye maono yake. Lakini pia hii ni faida kwa wengine pia tunajifunza kupitia maoni ya watu wengine.Afu sjui kuna watu wengne mnakuaga vilaza viazi yan unataka kopa 50 million af unatafta ushauri kwa watu ata usio wajua na wakat mwingne unaomba ushauri kwa watu ambao hawajawai fanya biashara
Peleka UTT au nunua bond za serikali wanacompound monthlyHapo kwenye calculator umekosea interest haiwi compounded monthly ni annually.
Benk wakiicompound annually 50m inakuwa 90M baada ya miaka 9 Kwa interest ya 16%.
Wewe umetumia 14% so inatakiwa iwe less than 90M in 9 years.
Wakati tunasoma hesabu wew ulikuwa unaweka vioo chini ya sket za wadada 😂😂😂😂😂😂😂Sijaelewa.
Mkopo 50M
Riba 16% = 8M
Mkopo + Riba = 58M
Sasa hiyo 90M rejesho inatoka wapi?
Wazalishaji ndo wanatakiwa wakope maana zitarudi kupitia faida.Hilo nalo neno.. ila utakopa wapi??