KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Wavute tu waje walambe chumvi wakurogePambaneni na hali zenu. Sisi hapa Nungwi tunaokota Dollar kama mchanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wavute tu waje walambe chumvi wakurogePambaneni na hali zenu. Sisi hapa Nungwi tunaokota Dollar kama mchanga
Benki wanapata faida ya 370,000 kila mwezi mpaka mkopo utakapoisha; ni vizuri pia kuwawezesha ili waendelee kuvaa tai.Ni sawa na kuwa na fremu ya laki 5 kila mwezi, huku ukitengeneza faida isiyopungua 370,000 kwa mwezi; akipambana vizuri, hela inarudi.
Nina mikopo nilichukua 2018 unaisha 2030Habar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Dewji anamkopo...Mkopo wenye Riba hauna baraka...utakufelisha tu mbeleni
Mi binafsi nilichukua mkopo 2018 na itaisha 2030Asilimia 99 ya watumishi hawanufaiki na mikopo wakopayo,wao wamekuwa waneemesha mabenki
Niko in between kuchukua nataka na kuacha pia natakaGreat returns requires great risk and sufficient resources to be invested. Kama kashakaza moyo, achukue tu.
Mkuu unatumia KILEVI gani?Habar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Hio bank sijawahi ipendaMkuu kwa ushauri.tu, nenda na NMB ukalinganishe. Hiyo riba crdb na marejesho ni kubwa mno.
Ila nmb hawana mashart ya kingese. Crdb ilikuwa niuze deni benk ingine, jamaa wanakataa kata kata, nikasema one, nikaachana nao. Mkopo huo wa 50m utalipa si miaka 9 tu, crdb ni benk ambayo ingeendelea kitambo, tatizo ni urasimu.
Yaan hata kadi yao nimeichoma moto
Usichukue huo mkopo kwasababu akili zako bado ni duni kwenye hayo mambo na tayari afisa mikopo kashakuingiza mkenge. Hapo utalipa 80% ya hiyo 50m kama Riba. Hiyo 16% uliyotajiwa ni lugha tamu ili uone ni rahisi. Utakuwa unarudisha 833,333/= kila mwezi kwa muda wa miaka 9. Business plans zote ni nzuri kabla ya implementations kwahiyo ninakushauri kama ni kuanza biashara anza kidogo kidogo kwa kiasi ulicho nacho mkononi. Achana na hiyo mikopo ya muda mrefu.Habar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
🤣😂🤣😂umeniacha hoi
Mkopo wenye Riba hauna baraka...utakufelisha tu mbelen
Kazi ndiyo dhamana MkuuKama kazi ndio dhamana na ukishindwa kulipa hakuna kitu chako binafsi kitaathirika, Beba fuba hilo mkuu.
Maisha haiahitaji kusita. Hapo najua utakatwa na kidogo kitabaki kuendeshea maisha.
Kama uko bize sana, Jengea nyumba hakikisha unakuwa na hati kabisa, hata wakijichanganya unaingia tena kwingine hiyo nyumba inakuwa ndio collateral unavuta fuba tu. Usiogope.
Za hivyo huwa tunachukua tu mzee baba. Risk free. Beba fubq hilo w4ka mipango, ikifeli maisha hayasimami unasonga mbele.Kazi ndiyo dhamana Mkuu
Hii pesa nataka nikainvest Kwenye mutual fund ambapo interest yake ni compound interestKAMA HIYO UNAKOTAKA KU-INVEST BIASHARA INALIPA KWA UHAKKA, CHUKUA. KAMA NI MAMBO YA KILIMO KISICHOTABIRIKA NA MVUA, USITHUBUTU!
Chukua mzigo invest huko faster.Hii pesa nataka nikainvest Kwenye mutual fund ambapo interest yake ni compound interest
Investment MkuuUnachukua mkopo ufanye nini
Uwekezaji gani na mkoa ganiNataka niifanyie uwekezaji