Ninataka kuwa kuwa nyumba container

Ninataka kuwa kuwa nyumba container

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa ni joto.

Mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa Ni joto.mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Container ni million moja na kupanda juu, ila kama unaenda kuishi na familia sikushauri, ila kama peke yako kibachela sawa.
 
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa Ni joto.mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya container inachezea milion 4 mpaka 8, badokulitengeneza yani liwe kama zile nyumba za wazungu unarudi kule kule kwenye milion 30-40 maana lazima uweke vizuia joto, la sivyo kipindi cha joto ni jehanamu na kipindi cha baridi ni friji.
 
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa Ni joto.mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda fanya kweli, ilimradi tu upate gwiji fundi mtaalamu kwenye design
images.jpeg.jpg
 
Kwa bajeti yako ni ndogo.

Kununua empy container ambayo ni second class yenye unafuu 20ft uwe kianzio kama million 2.5.

Kubeba kontena kutoka uliponunua na kulishushusha (lift on-transport-lift off at destination) uwe na kama laki 5 mpaka 7 tena itaongezeka kama utaenda mbali na mji.

Gharama za kufanya mabadiliko kama madirisha, mlango wa pembeni, kuweka feni au air condition. Hapo utaelewana na fundi mchundo.

Sehemu ya kuliweka kontena chini itabidi uweke sakafu au msingi ili maji yasiingie na kuepusha kutu. Pia juu utatakiwa kuweka paa ili kuepusha maji kupita dirishani au kutuama juu.

Ukipiga hesabu gharama zipo juu, labda uwe na kontena lako tayari.
 
Kamanda fanya kweli, ilimradi tu upate gwiji fundi mtaalamu kwenye designView attachment 1679027
Kwa Tanzania wanatengeneza kontena kama hizi au kuzifanyia kontena za kawaida kuwa ofisi au nyumba.
Wanaitwa Almar Container Conversion Kuna kipindi walikuwa mitaa ya Mbezi Chini, nadhani na Mbagala Wana ofisi mitaa ya Freight Forwarders Tanzania karibu na Camel Cement.
 
Back
Top Bottom