ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa ni joto.
Mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.
Sent using Jamii Forums mobile app