Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa kuhakikisha kinasalia madarakani.
Baada ya siku ya leo kutenguliwa kwa zuio la kutofanya mikutano ya hadhara basi nami najitoa rasmi kwa harakati ngumu za kumtengenezea ushindi wa kishindo Dkt. Samia na naamini atashinda.
Katika kufanikisha hili natambua haitakuwa kazi rahisi lakini ni kitu ambacho nitajitoa kuhakikisha linafanikiwa kwa sababu mpaka sasa kwa sifa na uwezo mkubwa wa kisiasa na kiuongozi alionao Dkt.Samia ushindi wake utakuwa laini sana. Wasionielewa wasubiri 2025 watanielewa.
Siku zote nitakuwa mstari wa mbele kuhakikisha nakuwa chachu ya CCM na Mwenyekiti wa CCM kukubalika. Halitakuwa Jambo rahisi lakini penye nia pana njia.
Kutenguliwa agizo la kutoruhusu mikuta ya hadhara kunaweza kukaleta athari za moja kwa moja kwa CCM au Mwenyekiti wa CCM hususani kueneza siasa za chuki kwamba serikali ya CCM haijafanya kitu kwa baadhi ya watu au kutumia hoja ya mikopo kama fimbo ya kuichapa CCM lakini hayo yote nimeyaangalia kwa undani na nimeona ninayamudu kuyaelezea kwa hoja za ushindani wa kisiasa.
Hoja zote zitajibiwa kwa hoja na vihoja kwa vihoja. Nitahakikisha taswira njema ya Dkt.Samia kuelekea 2025 inachorwa na haifutiki.
Hivyo basi kwa kutambua uwezo mkubwa na sifa njema alizonazo Dkt.Samia ninatamani niwe mmojawapo wa wataokaofanikisha safari hii ngumu na nzito kwa Dkt.Samia kuelekea 2025. Mpaka sasa ana asilimia kubwa ya kuweka historia kubwa ya ushindi , kwa picha na michoro nilichora ya kufanikisha ushindi wake, naamini itafanikiwa.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Ni Mimi muumini kindakindaki wa sera, Imani na siasa za CCM. Napatikana kupitia :0785 655 580