Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
ThubutuuuuuMheshiniwa raisi leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na raisi ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.
Sasa kwasababu raisi ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wote waliotajwa.
Hiyo ni kazi ya TAKUKURU sio polisiMheshiniwa raisi leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na raisi ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana...
Kwanini ni kazi ya takukuru na sio jeshi la polisi?Hiyo ni kazi ya TAKUKURU sio polisi
USSR
Kivipi? Kwani matukio yote ni rushwa peke yake? Jeshi la polisi halifanyi uchunguzi?Haihusu Polisi. Ni takukuru.
TAKUKURU wanachunguza wenyewe kesi zao na wanazipeleka wenyewe kwa DPP hawawategemei POLISI.Kivipi? Kwani matukio yote ni rushwa peke yake? Jeshi la polisi halifanyi uchunguzi?
Unataka kumaanisha kwamba takukuru wanazo mahabusu zao? Mpelelezi wa makosa ya jinai hawezi kuchunguza matukio kama hayo?TAKUKURU wanachunguza wenyewe kesi zao na wanazipeleka wenyewe kwa DPP hawawategemei POLISI.
SIO kwa TANZANIA wangekuwa WAPINZANI LABDA LAKINI MAKADA HAITATOKEA KAMWEMheshiniwa raisi leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na raisi ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.
Sasa kwasababu raisi ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wote waliotajwa.
Nilizani utatoa haja kubwa kitandaniIkitokea nitaanza kukojoa kitandani.
Ukianzia mkoa gani ili tukuunge mkono mwanaJFUnalowaza likitimia nakunya mafungu mafungu hapa mpaka dodoma
Nadhani atakuwa IGP.Hivi IGP na mkuu wa TAKUKURU nani mkubwa?
Wote niwakubwaHivi IGP na mkuu wa TAKUKURU nani mkubwa?