Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.

Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wote waliotajwa.
Wambura mpaka apewe ruhusa na mkuu wa nchi ya kuwakamata hao watu, katiba yetu ya ajabu sana na tuunge mkono juhudi za kuibadilisha la sivyo...
 
Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.

Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wote waliotajwa.
Wahusika wote ni watu wazito hakuna kitachoendelea zaidi ya maigizo
 
Back
Top Bottom