Ninatarajia kumng'oa Evans Aveva Simba , ameshindwa uongozi

Ninatarajia kumng'oa Evans Aveva Simba , ameshindwa uongozi

tuko pamoja kamanda...ni vizuri tukaweka mikakati ya pamoja
 
Sijawahi kuiombea mema simba hata siku moja sababu ya majigambo na kubebwa miaka nenda rudi lakini ni moja ya timu ninayoiheshimu sana na kuichukia sana hasa inapofanya kila jitihada za kuihujumu Yanga lkn kitendo cha kupakia wachezaji kwenye daladala kimenifanya nifahamu kumbe ufisadi hauko serikalini tu isipokuwa hadi vilabuni. Simba imedharirishwa sana si hapa ndani ya nchi isipokuwa hadi nje ya nchi. Ningekuwa mwanachama wa simba leo hii ningechukua uanachama Yanga ama Toto Africa
 
mimi mwana Yanga na huwa naiombea simba mabaya ila sio kwa jambo kama hili,nifedhea na aibu kwa timu kama simba kufikia hatua hiyo simba SC ni brand yaani kivyovyote vile inastahili heshima zaidi,inahitaji watu makini wanaojua mpira sio wapiga deal wanaopenda kutmia mpira kwa biashara zao..nakuunga mkono kamng'oe aveva timu mpeni MO tutengeneze competition ya ukweli
Mkuu, pamoja na kuiombea mabaya Simba, lkn sikubali kuwa walipanda bodaboda kwa kukosa pesa. Wanadhaminiwa na Vodacom, pesa wanayo.

Naona ni mbinu ya kujificha na hasira ya mashabiki. Gari lao likionekana linapipolewa mawe. Na juzijuzi lilivunjwa vioo, huenda wanaogopa kulipitisha mtaani.

Nawashauri wachukue la Yanga wajikinge na mawe[emoji12] [emoji13]
 
Kiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .

Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji kutumia usafiri wa bodaboda hakivumiliki na cha aibu.

Nimejitosa rasmi kumng'oa Aveva na kamati yake ya utendaji ili kuleta heshima msimbazi .

Wadau niungeni mkono .
Mkuu kwani pesa za okwi wameshazigawana hawajabakiza hata kidogo tu kwa ajil ya gest hata za buku saba saba tu???
 
Mkuu kwani pesa za okwi wameshazigawana hawajabakiza hata kidogo tu kwa ajil ya gest hata za buku saba saba tu???
Hela za Okwi zinaonekana kwenye makaratasi tu lakini kwenye cash ni mahesabu ya kichwani tu .
 
Kambi ya Hans pope na kambi ya dewj zinapigania ufalme hapa
Aveva ni kiongozi mzuri tatizo makund yenye pesa ndio sumu mbaya
 
Kambi ya Hans pope na kambi ya dewj zinapigania ufalme hapa
Aveva ni kiongozi mzuri tatizo makund yenye pesa ndio sumu mbaya
Inawezekana makundi yakawepo , lakini hili ninaloanzisha mimi ni kundi lililo chini ya mwanachama wa simba mwenye kadi no ....... Anayeitwa Erythrocyte .
 
Itakuwa kama Malinzi alivyokuwa anapambana kuingia tff
Kumbe ni mbumbumbu first class

Tunataka kiongozi mwenye vision wala hao kina dewj hawana lolote, wanataka wapige hela tuu huku simba ikididimia
wewe unamtaka nani?
 
wewe unamtaka nani?
No one to mention
Ila Tunataka chairman mwenye vision, mwenye kushawish wawekezaji bora na sio wawekezaji maslah

Nasisitiza Aveva ni kiongozi mzuri ila makund ndio yanamtesa na ameshindwa kuyamaliza na kumaintane status ya klabu kubwa kama simba

Kama ataondoka yule brother Michael wambura anaweza kurudisha heshima ya klabu
 
hapana

kwa simba sasaivi hatuhitaji huu mfumo wa uendeshaji...hata awe mwenyekiti Mungu hatutafika sehemu

kinachotakiwa sasa ni kubadili mfumo timu iwe kampuni iendeshwe kibiashara na ijitegemee
 
Sijawahi kuiombea mema simba hata siku moja sababu ya majigambo na kubebwa miaka nenda rudi lakini ni moja ya timu ninayoiheshimu sana na kuichukia sana hasa inapofanya kila jitihada za kuihujumu Yanga lkn kitendo cha kupakia wachezaji kwenye daladala kimenifanya nifahamu kumbe ufisadi hauko serikalini tu isipokuwa hadi vilabuni. Simba imedharirishwa sana si hapa ndani ya nchi isipokuwa hadi nje ya nchi. Ningekuwa mwanachama wa simba leo hii ningechukua uanachama Yanga ama Toto Africa
acha unshakupe wewe
 
hapana

kwa simba sasaivi hatuhitaji huu mfumo wa uendeshaji...hata awe mwenyekiti Mungu hatutafika sehemu

kinachotakiwa sasa ni kubadili mfumo timu iwe kampuni iendeshwe kibiashara na ijitegemee
Sidhani kama ni rahisi hivyo kumbuka simba ni timu ya wanachama kama ilivyo real Madrid, kunatakiwa kutangazwe his watu wanunue his tu
 
Sidhani kama ni rahisi hivyo kumbuka simba ni timu ya wanachama kama ilivyo real Madrid, kunatakiwa kutangazwe his watu wanunue his tu

sasa ugumu uko wapi? inashindikana nini kutangaza?

mbona iko hivyo kwa Barcelona,real Madrid na TP Mazembe

pia wanachama ndio sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom