Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mtani ni zaidi ya tia maji tia maji hali zenu.Yaani wamesafiri Na bodaboda kwenda uwanjani??? Na lile basi letu vipi??
Kama msemaji alipanda hadi akaanguka, je wachezaji?Duh wachezaji bodaboda?
Mkuu, pamoja na kuiombea mabaya Simba, lkn sikubali kuwa walipanda bodaboda kwa kukosa pesa. Wanadhaminiwa na Vodacom, pesa wanayo.mimi mwana Yanga na huwa naiombea simba mabaya ila sio kwa jambo kama hili,nifedhea na aibu kwa timu kama simba kufikia hatua hiyo simba SC ni brand yaani kivyovyote vile inastahili heshima zaidi,inahitaji watu makini wanaojua mpira sio wapiga deal wanaopenda kutmia mpira kwa biashara zao..nakuunga mkono kamng'oe aveva timu mpeni MO tutengeneze competition ya ukweli
Mkuu kwani pesa za okwi wameshazigawana hawajabakiza hata kidogo tu kwa ajil ya gest hata za buku saba saba tu???Kiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .
Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji kutumia usafiri wa bodaboda hakivumiliki na cha aibu.
Nimejitosa rasmi kumng'oa Aveva na kamati yake ya utendaji ili kuleta heshima msimbazi .
Wadau niungeni mkono .
Hela za Okwi zinaonekana kwenye makaratasi tu lakini kwenye cash ni mahesabu ya kichwani tu .Mkuu kwani pesa za okwi wameshazigawana hawajabakiza hata kidogo tu kwa ajil ya gest hata za buku saba saba tu???
Asante mkuu , kama tulimng'oa Rage mtoto wa mjini , huyu ofisa wa zamani wa embassy hotel ni mwepesi .tuko pamoja kamanda...ni vizuri tukaweka mikakati ya pamoja
Inawezekana makundi yakawepo , lakini hili ninaloanzisha mimi ni kundi lililo chini ya mwanachama wa simba mwenye kadi no ....... Anayeitwa Erythrocyte .Kambi ya Hans pope na kambi ya dewj zinapigania ufalme hapa
Aveva ni kiongozi mzuri tatizo makund yenye pesa ndio sumu mbaya
sasa mbona hutoi mikakati tukuunge mkonoInawezekana makundi yakawepo , lakini hili ninaloanzisha mimi ni kundi lililo chini ya mwanachama wa simba mwenye kadi no ....... Anayeitwa Erythrocyte .
lakini tukishamng'oa tunamweka nani na katika mfumo upi?Asante mkuu , kama tulimng'oa Rage mtoto wa mjini , huyu ofisa wa zamani wa embassy hotel ni mwepesi .
Itakuwa kama Malinzi alivyokuwa anapambana kuingia tfflakini tukishamng'oa tunamweka nani na katika mfumo upi?
wewe unamtaka nani?Itakuwa kama Malinzi alivyokuwa anapambana kuingia tff
Kumbe ni mbumbumbu first class
Tunataka kiongozi mwenye vision wala hao kina dewj hawana lolote, wanataka wapige hela tuu huku simba ikididimia
No one to mentionwewe unamtaka nani?
hapanaNo one to mention
Ila Tunataka chairman mwenye vision, mwenye kushawish wawekezaji bora na sio wawekezaji maslah
Nasisitiza Aveva ni kiongozi mzuri ila makund ndio yanamtesa na ameshindwa kuyamaliza na kumaintane status ya klabu kubwa kama simba
Kama ataondoka yule brother Michael wambura anaweza kurudisha heshima ya klabu
acha unshakupe weweSijawahi kuiombea mema simba hata siku moja sababu ya majigambo na kubebwa miaka nenda rudi lakini ni moja ya timu ninayoiheshimu sana na kuichukia sana hasa inapofanya kila jitihada za kuihujumu Yanga lkn kitendo cha kupakia wachezaji kwenye daladala kimenifanya nifahamu kumbe ufisadi hauko serikalini tu isipokuwa hadi vilabuni. Simba imedharirishwa sana si hapa ndani ya nchi isipokuwa hadi nje ya nchi. Ningekuwa mwanachama wa simba leo hii ningechukua uanachama Yanga ama Toto Africa
Sidhani kama ni rahisi hivyo kumbuka simba ni timu ya wanachama kama ilivyo real Madrid, kunatakiwa kutangazwe his watu wanunue his tuhapana
kwa simba sasaivi hatuhitaji huu mfumo wa uendeshaji...hata awe mwenyekiti Mungu hatutafika sehemu
kinachotakiwa sasa ni kubadili mfumo timu iwe kampuni iendeshwe kibiashara na ijitegemee
Sidhani kama ni rahisi hivyo kumbuka simba ni timu ya wanachama kama ilivyo real Madrid, kunatakiwa kutangazwe his watu wanunue his tu