Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Tunatambua uwezo wa binadamu katika kujumuika na kuendesha mambo mengine ya kidunia, uongoni ni busara ya kushawishia kupitia maamuzi kwa ajili ya wengine.bahati mbaya iliyoje viongozi wa afrika hawana sifa ya uongozi (influence) bali wamepata authority (mamlaka) na power (nguvu) ya kutuendesha wanavyotaka wao.
Kutokana na fact kwamba wao hawana akili ya kuongoza na wanaishi kwa mazoea basi imekuwa rahisi kwao kuchukua sheria na maamuz mkononi mfano mkubwa nchi ya kusadikika wao toka RAIS wa awamu ya kwanza mpaka hadi hivi sasa umeme kwao ni tatizo na kwa bahati mbaya na ubov wa akili hawatak kujiengua kwani tayar kashapoteza sifa ya kushawishi..poor you