Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii



😀😀

Nacheka kwasababu watu wamefanya hayo mambo as recently as last yr.

Ubalozi kutaka kuhakikisha uhalali wa BS yako tayari umewapa sababu ya kukutilia mashaka. You didn't do your homework well enough.

Kwenye uzi huu huu watu wamekiri kupatiwa visa bila kuulizwa BS wala nini. Kwanini wewe ubanwe?

Nimesema forgery sio docs tu ni pamoja na kucover weak links za kutiliwa mashaka.

Hakuna ndugu au rafiki yangu ambaye nimemshika mkono kwenye swala la visa akakosa. HAKUNA.

But to each their own. If playing safe is your game more power to you. Tusijelaumiana bure hata kama hatujuani.
 
Kama mpira anauweza mpeleke Ukraine akaanzie kwenye timu za chini kule, Wanaigeria ndio wanavyofanya
 
Kama mpira anauweza mpeleke Ukraine akaanzie kwenye timu za chini kule, Wanaigeria ndio wanavyofanya
Nigeria wana hustle aisee na kumbuka, niliuwa nikitoka break job muda wa kula, nilikuwa nakutana na wanaija nao wanakuja kula wali maharagae ,walikiwa ni wachezaji mpira wamekuja Tz kutafuta timu... ya kujiunga nayo huku bongo
 
Take your time. Kusanya docs taratibu. Tafuta connections. Tafuta funds, anza application.
Kipindi naenda kuchukua passport 2016 watu wengi waliniambia hupati akiwem bamkubwa anafanyakazi HQ mambo ya ndani akanambia wanataka vitu vingi sana,walichokuwa hawajui mm nilikua na details zote wakashangaa nimepewa passport.
Bamkubwa akasema niambie jinzi ulivyopata na mwanangu akachukue
 

Passport au Visa?
 
Mkuu nazungumzia vijana tuwape abc sio kubaki kujisifia humu hoo mimi nipo hivi haisaidii kitu umeona waNigeria jinsi wanavyowashika mkono wadogo na pia nilimwelekeza hivyo kwa kuwa si wengine huko tunaweza kwenda na kurudi sasa hivi ila mwanzo mimi sikuwahi kufikiria baadhi ya nchi kwa kuwa sifa kuu ya hela ndio ilikua changamoto...
 
Ok sawa dada safi kwa taarifa nzuri kama hizi ili vijana waelewe kwa kuanzia mimi hongkong nimeishi camteen na kule shamshuipoo ambako tulikua tunaokota vitu kwa bei ndogo na kuvitia kwenye contenna mpaka kesho vitu ni vya kumwaga mpaka magari yapo ya bei ndogo yanayotoka japan na ya pale pale ila sema sasa hivi covid imetublock
 
Mkuu upo sahihi kabisa haya ndio madini vijana wanatakiwa wapate...
 
David Concar anafanya nini Tanzania? Ofisi yake inahusu nini kwa kutumia jina UK?
 
Moja ya hitaji la Australian study visa ni reliable source of income , kwa muombaji visa .
Hebu nieleze unawezaje kubypass hili ili usiombwe Bs?
 
Nakubaliana sana na wewe, ila kwa structure ya sisi wabongo hatuwezi kushikamana maana si waaminifu,
Nimeshuhudia mshikamano mkubwa wapopo hapo hilbrow na berea , lakini wenzetu wana common ground na hawana unafiki baina yao, hata wa Ethiopia pia wameshikamana sana hapo jo burg.
Unakumbuka miaka ya nyuma tulivyokuwa tunasalitiana pale doomfontein? Unamwaninije mbongo ?
 
Moja ya hitaji la Australian study visa ni reliable source of income , kwa muombaji visa .
Hebu nieleze unawezaje kubypass hili ili usiombwe Bs?

BS ya sponsor. Nchi zote zinahicho kigezo na watu wanachakachua. Moja ya kitu kirahisi kuchakachua ni BS nakwambia na usidhani watu wanachakachua wakiwa maghettoni tu huu ni mchongo unasukwa kitaalam.
 
Reactions: Pep
Watanzania tuliosoma Tanzania tunaweza na tumefanya. Endelea kusubiri kila kitu kifunguke taratibu wengine tunaforce king.
Mmeweza na mmefanya lipi wasomi nyie , ? Hii ya kushauri mtu agushi bank statements nayo ni kielelezo cha matunda ya elimu ? Kuna tofauti gani na yule phd holder aliyekuwa anatushauri tujifukize kutibu korona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…