Mkuu sijaelewa structure ipi ya Bs unayoiongelea kwamba ati ni rahisi kuchakachua , unaiongelea BS kama vile cheti cha ubatizo ambacho hakibadiliki kitu kikisha andikwa.BS ya sponsor. Nchi zote zinahicho kigezo na watu wanachakachua. Moja ya kitu kirahisi kuchakachua ni BS nakwambia na usidhani watu wanachakachua wakiwa maghettoni tu huu ni mchongo unasukwa kitaalam.
Mkuu t blj skupingi, ila Bank hawaruhusiwi kuto siri za mteja wao hasa hasa balance iliyonayo mteja wao hapo unaweza kuishatki bank kwa tutoa siri za account yko bila idhini yako au ya mahakama ya nchi husika ambayo hiyo bank ipo na kama umesema ubalozi ulipiga simu bank je bank ilitumia njia gani kujirizisha kama kwel ni ubalozi wa Australia ulio piga simu??? Na si mtu anaejifanya anatoka ubalozini anataka taarifa za mteja wao ili akazitumie kiujambazi?? Swala la ubalozi kupiga simu ndio inawezekana lakim swala la kutajiwa balance iliyopo haiweze kani mkuu na wewe ulijuaje kama ubalalizi ulpiga simu je walikwambia??? NB kwa USA non immigrant visa ubalozi hawapigi simu popote ku confirm document's ulizo submit siku ya interview kama watatilia mashaka documents zako hawakupi visa end of the strory. Kama story yako na documents zako zita balance na ukawahakikishia ukienda hauta overstay utarudi on time wana kupa visa mchana kweupe. Ila sometimes na bahati inabidi inahusika.@Bufa
Mimi ni muhanga wa kukosa visa ya Australia, hicho unachokiongea kuhusu Bank statements forgery kwa ubalozi wa Australia hutoboi , they are very smart at it
kwanza wanataka immediately funds , hizi ni pesa wanataka ziwepo kwenye account yako au inayokufadhili , kwa hiyo usipokuww na vitu kama Atm cards upon arrival , wanaweza kukku deport ,how can you acces cash then? kwa case yangu sponsor alinipa statement tamu, nikaenda nayo ubalozini , bahati mbaya sponsor akapata na dharula iliyomfanya atoe pesa nyingi , na bahati mbaya zaidi wale embassy wakapiga simu bank kuulizia salio ikaonekana pesa ninayoclaim haipo kwenye account tajwa na nikanyimwa visa, ilikuwa mwaka 1999 na hadi leo nina hiyo copy ya email.
Nina ushahidi wa brother wangu alitengeneza BS fake na akapata visa ya kwenda kusoma UK mwaka 2006. Haya mambo yapo mkuu. Ukitaka uende kihalali Ulaya au US kama wewe ni maskini utasubiri sana maana wale ma visa counselors hawana huruma kabisa kama huna sifa hupati hata iweje ndo maana watu wanajiongeza na fake documents wapo wanao fanikiwa na wapo wanao fail inategemea na bahati na uzuri wa kujieleza wa mtu na mtu.Mkuu sijaelewa structure ipi ya Bs unayoiongelea kwamba ati ni rahisi kuchakachua , unaiongelea BS kama vile cheti cha ubatizo ambacho hakibadiliki kitu kikisha andikwa.
Bs ni documents endelevu na inaweza ikahitajika na kukaguliwa anytime officials wanapotaka na ukagindulika
Kwenda nje ya nchi ni kitu kimoja na kuishi huko kwa amani ni kitu kingine .
Mkuu sijaelewa structure ipi ya Bs unayoiongelea kwamba ati ni rahisi kuchakachua , unaiongelea BS kama vile cheti cha ubatizo ambacho hakibadiliki kitu kikisha andikwa.
Bs ni documents endelevu na inaweza ikahitajika na kukaguliwa anytime officials wanapotaka na ukagindulika
Kwenda nje ya nchi ni kitu kimoja na kuishi huko kwa amani ni kitu kingine .
Sijawahi omba visa ya Usa , ila nina experience na Visa ya Australia.Mkuu t blj skupingi, ila Bank hawaruhusiwi kuto siri za mteja wao hasa hasa balance iliyonayo mteja wao hapo unaweza kuishatki bank kwa tutoa siri za account yko bila idhini yako au ya mahakama ya nchi husika ambayo hiyo bank ipo na kama umesema ubalozi ulipiga simu bank je bank ilitumia njia gani kujirizisha kama kwel ni ubalozi wa Australia ulio piga simu??? Na si mtu anaejifanya anatoka ubalozini anataka taarifa za mteja wao ili akazitumie kiujambazi?? Swala la ubalozi kupiga simu ndio inawezekana lakim swala la kutajiwa balance iliyopo haiweze kani mkuu na wewe ulijuaje kama ubalalizi ulpiga simu je walikwambia??? NB kwa USA non immigrant visa ubalozi hawapigi simu popote ku confirm document's ulizo submit siku ya interview kama watatilia mashaka documents zako hawakupi visa end of the strory. Kama story yako na documents zako zita balance na ukawahakikishia ukienda hauta overstay utarudi on time wana kupa visa mchana kweupe. Ila sometimes na bahati inabidi inahusika.
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Mkuu t blj skupingi, ila Bank hawaruhusiwi kuto siri za mteja wao hasa hasa balance iliyonayo mteja wao hapo unaweza kuishatki bank kwa tutoa siri za account yko bila idhini yako au ya mahakama ya nchi husika ambayo hiyo bank ipo na kama umesema ubalozi ulipiga simu bank je bank ilitumia njia gani kujirizisha kama kwel ni ubalozi wa Australia ulio piga simu??? Na si mtu anaejifanya anatoka ubalozini anataka taarifa za mteja wao ili akazitumie kiujambazi?? Swala la ubalozi kupiga simu ndio inawezekana lakim swala la kutajiwa balance iliyopo haiweze kani mkuu na wewe ulijuaje kama ubalalizi ulpiga simu je walikwambia??? NB kwa USA non immigrant visa ubalozi hawapigi simu popote ku confirm document's ulizo submit siku ya interview kama watatilia mashaka documents zako hawakupi visa end of the strory. Kama story yako na documents zako zita balance na ukawahakikishia ukienda hauta overstay utarudi on time wana kupa visa mchana kweupe. Ila sometimes na bahati inabidi inahusika.
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Scenario yangu ilikuwa karibu miaka 23 iliyopita , nilisha move on kwenye vitu vingine kabisa , na wala sina mawazo hayo tena.Do it the right way. Good luck
Basi labda walio kiwango kilekile ambacho kipo kwenye BS yko ambayo ulienda nayo hakitoshi ila sio kama walipigia simu bank husika na kuuliza Balance.Sijawahi omba visa ya Usa , ila nina experience na Visa ya Australia.
Bank wana limitations sana linapokuja kuwajibika kwa baadhi ya mamlaka , ndo maana pamoja nasheria za privacy Tra bado wanaweza kuangalia balance na kufunga baadhi ya akaunti za benki wakihitaji
Australian Embassy wameweka wazi kuwa lazima wajiridhishe na kuwa una kiwango cha fedha zitakazokusaidia ukiwa huko. Na ikitokea wanakunyima Visa huwa wanaeleza kabisa sababu.
Kwa kesi yangu ilikuwa insufficient balance to cover studies costs, na email nilipewa ,,
Mkuu Uk sijui wana utaratibu ganiNina ushahidi wa brother wangu alitengeneza BS fake na akapata visa ya kwenda kusoma UK mwaka 2006. Haya mambo yapo mkuu. Ukitaka uende kihalali Ulaya au US kama wewe ni maskini utasubiri sana maana wale ma visa counselors hawana huruma kabisa kama huna sifa hupati hata iweje ndo maana watu wanajiongeza na fake documents wapo wanao fanikiwa na wapo wanao fail inategemea na bahati na uzuri wa kujieleza wa mtu na mtu.
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Mmeweza na mmefanya lipi wasomi nyie , ? Hii ya kushauri mtu agushi bank statements nayo ni kielelezo cha matunda ya elimu ? Kuna tofauti gani na yule phd holder aliyekuwa anatushauri tujifukize kutibu korona?
Scenario yangu ilikuwa karibu miaka 23 iliyopita , nilisha move on kwenye vitu vingine kabisa , na wala sina mawazo hayo tena.
Asante kwa ushaurii
MkuuBasi labda walio kiwango kilekile ambacho kipo kwenye BS yko ambayo ulienda nayo hakitoshi ila sio kama walipigia simu bank husika na kuuliza Balance.
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuuMkuu
Visa nilikwenda siku ya jumanne , documents nilizobeba Bs ilikuwa na balance mara mbili ya mahitaji ya wakati huo walitaka equivalent ya 8000 Aud . Bahati mbaya alhamisi sponsor aka withdraw pesa nyingi na kuacha pesa kidogo akiamini kuwa hata affect chochote, walipopiga simu ndipo ikagunduilika kuwa akaunti haina balance ya kutosha .
Sijui umetumia kigezo gani kuni value , ila naona kama mjadala unaelekea kusiko.Tofauti ni kwamba sasa navuta hewa laini isiyo na mawaa na nyie wenye elimu bora bado mnapiga kwata consulate.
Nakuunga mkono hapo uliposema ukiwapa sababu ya kukutilia mashaka kweli watapiga simu kama zote kwa watu na institutions zote zilizopo kwenye docs zako. Kuna watu wanafika ubalozini wala hawaulizwi maswali mengi, hayo sijui ma BS wala hawaulizwi na wanapata visa kiulaini. Wakifika port of entry wanateleza tu hawaulizwi ATM card wala nini😀😀
Nacheka kwasababu watu wamefanya hayo mambo as recently as last yr.
Ubalozi kutaka kuhakikisha uhalali wa BS yako tayari umewapa sababu ya kukutilia mashaka. You didn't do your homework well enough.
Kwenye uzi huu huu watu wamekiri kupatiwa visa bila kuulizwa BS wala nini. Kwanini wewe ubanwe?
Nimesema forgery sio docs tu ni pamoja na kucover weak links za kutiliwa mashaka.
Hakuna ndugu au rafiki yangu ambaye nimemshika mkono kwenye swala la visa akakosa. HAKUNA.
But to each their own. If playing safe is your game more power to you. Tusijelaumiana bure hata kama hatujuani.
Nakuunga mkono hapo uliposema ukiwapa sababu ya kukutilia mashaka kweli watapiga simu kama zote kwa watu na institutions zote zilizopo kwenye docs zako. Kuna watu wanafika ubalozini wala hawaulizwi maswali mengi, hayo sijui ma BS wala hawaulizwi na wanapata visa kiulaini. Wakifika port of entry wanateleza tu hawaulizwi ATM card wala nini
Lazima mtu ujipange sio kwa docs tu bali hata muonekano na jinsi mtu unavyojieleza. Lazima ujue pia saikolojia ya hawa watu wa kwenye balozi na port of entry la zivyo visa utazisikia kwa watu tu
Tupe somo zaidi , inabidi mtu ajiandar vipi na hizi interview za Visa...Balozi kama za marekani mtu anafanyiwa interview watu wote waliopo wanasikia anavyohojiwa yani hakuna privacy kabisa. Sasa wengine wanavyojieleza mtu unajua kabisa huyu visa lazima anyimwe na ananyimwa kweli...watanzania hatujiamini. Ndo maana wanaijeria na wakenya wanafanikiwa zaidi
Kama kwenye account yako unayo dollar 6,000 njoo nikupe mchongo sihitaji hella yako na walabhuhitaji waakala