Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Hizo documents unapeleka viva tower office gani tena ?
 
Mkuu Why Belgium, Germany na Finland?
 
Wee. LARosa hasa unataka kwenda nchi gani? Nadhani wewe unataka popote ulaya au America kutafuta maisha. Kila la kheri ndugu yetu.
Lazma tukaishi nao huko majuu mkuu.
 
Shukrani Sana, vipi kuhusu Australia je?
 
Huko ndo Kuna maisha mkuu. Poland na kwingineko ni vilio vitupu.
Nimekupata mkuu ... tangulia, ukifanikiwa utujulishe.
mimi naendelea na process Mungu akipenda huu mwaka inabidi nifanye namna nitoke Tz
 
Hzi visa za Eu / US ni ngumu kupata je hhwa zinadumu kwa muda gani? Taratibu za kurenew ni ngumu sana ..? Maana kwa maelezo ya watu wakishapewa wanazamia
 
Dollar elfu moja ni nyingi mkuu unata fake Visa au genuine one

Fake visa to all over EU euro 400
Genuine EU visa euro 3000
Visa yako utatumiwa kwa Dhl unaipokea posta

Nothing is impossible in this fuckng world
Huwezi fake visa Acha uongo
 
naangaliaga kipindi kinaitwa border security Australia. Ukifika pale airport wale maafisa uhamiaji wakiwa na mashaka na wewe, especially Kama kuforge bank statement wanakupeleka kwenye ATM za airport unaambiwa uangalie salio wakiona.
Kama ulidanganya unadeportiwa na next available flight.
 
Mkuu unachoongea upo sahihi kinachotakiwa ni kutoa hizo njia sahihi ili wengine wafate huo mstari maana taarifa sahihi ndio power ya kila na walioingia njia za panya huwa naamin kukosa kwao taarifa sahihi na maisha yetu yalivyo yanawafanya wapite hivyo na ukizingatia kitambo kidogo nchi zinazoeleweka kupata visa na kuonyoosha mambo yako ilikua mtihani..tuliosafiri tuwatoe matongo tongo madogo ili wao wapate unafuu
 
Australia ni kiboko harafu wanajua kabisa nia ya wasafiri aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…