Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

kweli unachoongea i agree with the #facts ipo hvo huko ughibuni watu wanahangaik sana na paperwork ,any ila mshaikamano ni kitu kizuri jaman watz ukipata ww wa kwanza saidia na wengne kwa mbinu nzuri au pia toa darasa maan huko watu weng wanapend kuja kuna fursa nyngi kuliko africa yetu hii ngumu
 
yaan huwa nakicheki sana nikagundua kuumbe sio waafrika tu ndo tuna struggle kwenda ughaibuni hata wazungu pia wana migrate sana kutafuta fursa, pia cases za madawa ya kulevya zpo dunia nzima wale customs pale airport wanashika unga sana
 

Naona wengi mnafeli hata kuwaza mambo madogo tu ndo maana mnaona haya mambo ni otherworldly. Aje mtu wa miaka 20 sio famous wala nini na bank statement yake mwenyewe inasoma 1M USD unadhani nani atamuamini?

Kama kuwaza jambo dogo tu hivi hamuwezi basi hata msiwaze about counterfeiting.

Forgery sio docs tu ni pamoja na kuwaza jinsi ya kuziba weak links ili usitiliwe mashaka, kitu ambacho naona wengi kinawashinda.

Mathalani, huyo aliyepelekwa ATM kwanini kwanza alitembea na card? Alisema ana shingapi na alisema BS ya nani? Kingine wengi hawajiamini na hawajui sheria. Ukijua sheria na haki zako utabishana nao kisheria.

Aidha, bank statement inaonyesha mzunguko wa pesa sio pesa iliyokaa tu in the vaults kama viazi store. Hata BS ya ukweli yenye 1M leo kesho inaweza kuwa na 10 dollars na mtu akaombea na kupewa visa vizuri tu. Watu wamepita na BS za hivi nawajua personally.

People really have no idea how these things work.

Wenzenu wanadraft BS ya 30k USD tu wanasema ya mjomba au sponsor sasa kama mnataka sponsor awape salio on the spot mtafuteni.

Mwisho, isije kuonekana nashauri watu wadanganye la hasha ila nawaambia ni mambo ambayo yapo na yanafanyika. There's no such a thing as a perfect system.
 
Nakuunganisha na ndugu yangu alieko USA akupe invitation letter au afanye manuva yoyote Yale upate connection na kanisa wakuite huko Kama muhubiri au ukahudhurie semina

Uwe tu mvumilivu

Karibu PM
Imekaa poa sana hii mkuu
 
Wakati wabongo wanadhani hakuna fake bank statemets, wapopo walikua wanatoa REAL US Visa kwenye ubalozi fake. Mnashangaa kwanini wapopo wamejazana ulimwenguni kote.

News has travelled the world that an organised gang based in Ghana ran a fake embassy selling real US visas for $6,000 (£4,700) for "about a decade". How did they get away with it for so long?

 
mkuu viva tower pale kuna agent..samahan nipe muongozo vzry
Sio agent ndio viza processing Centre wanatuma documents zako kwenda south Africa kwa Kua Hatuna Ubalozi Tanzania

Muhimu Uweke mkataba wa nyumba yako unayoishi kama umepanga kama haujapanga ni nyumba yako uwa wahitaji copy ya hati au kiwanja Pia
Kama upo dar nenda Nenda pale zilipokua ofisi za EFM radio kuna stationery chini au mikocheni karibu na talk of the town kuna stationery pia watakusaidia kujaza forms online kwa gharama ya elfu 30 au 50
 
Hizo documents unapeleka viva tower office gani tena ?

Haupeleki tu unaomba appointment online just like a normal viZa application ni ghorofa ya Pili au ya tatu ile floor yenye agents wengi wa kuuza tickets za ndege kuna office imeandikwa UK viza processing
 
Ni documents ngapi na zipi ulikuwa nazo zote hadi ukafanikiwa zoezi lote Mkuu?
 
Yes Mkuu kama mtu unatumia forgery bank statements na hauna hiyo hela kwenye account ni atlist pale kwenye swali wanalouliza who is paying for your trip unaandika my father /my sister /my mother / my uncle hizo statements akikisha jina lako la mwisho linafanana nazo, kuliko kujifanya ni hela zako
 
Ni documents ngapi na zipi ulikuwa nazo zote hadi ukafanikiwa zoezi lote Mkuu?
Barua ya kazi, passport size , hati ya nyumba kama hauna nyumba unaweka mkataba Pango wa unapoishi, bank statements ,barua ya mualiko Kutoka Uk na hizo forms zao utakazojaZa online kuna jinsi ya ku print unaziambanatisha na risiti ya malipo

sasa inategemea wana VIP service na nyingine za kawaida unasubili majibu mwezi kama ni VIP majibu yanaludi after 3 days kutoka South Africa gharama za kulipia application inaongezeka
 
Hii inakuwa ni visa ya 90days ambayo application fee ona cost €80 ?

Barua ya kazi- kwa maana ulipo ajiriwa? Au yakupata job offer UK?

Shukrani Mimi.
 
Hii inakuwa ni visa ya 90days ambayo application fee ona cost €80 ?

Barua ya kazi- kwa maana ulipo ajiriwa? Au yakupata job offer UK?

Shukrani Mimi.
Ulipoajiliwa wanatoa viza kuanzia miezi 6
 
Sawa mkuu ngoja tufuate nyendo zake, au wewe umeridhika na life la bongo?
Sema nenda Nchi za Asia huko kuanzia China,Hongo Kong,Macau,Singapore,Thailand, Cambodia na Vietnam hizo Nchi zina maisha kuliko ulaya na USA...na hapo China,Macau na Thai ndio tunahitaji visa hizo zingine visa yake ukifika airport ila Hong Kong na Singapore mpaka wakufanyie interview ni watata ukiweza chukua visa ya China ukiingia huko unapita na treni kwenda Hong Kong na ukitaka kwenda Singapore kutokea China ni rahisi pia...
 
Nimekuelewa vyema mkuu, unazungumzia kuangalia fursa kwenye nchi ambazo kwa sisi TZ tunaingia Visa free/ visa on arrival...

Ni muda sasa na sisi kutafuta fursa, mataifa mengine...
 
shukran sanaaa
 

Kila aliyepo Asia anataka kuja kiwanja au Europe, wewe unasema waende Asia 🤔
 
Kila aliyepo Asia anataka kuja kiwanja au Europe, wewe unasema waende Asia 🤔
Mimi kote nimeenda wa ulaya na marekani wanakua na shida kibao huko Asia kuna hela aisee...mtu najivunia kuwa na status harafu hata nauli tuu ya kuja Afrika hana ndugu yangu mmoja alikua na kampuni yake Johannesburg eti kaifunga alienda UK baadae mwenyewe alitafuta nauli ya kurudi na yupo tena End street hapo maisha yanaenda vizuri tu..
 

Sijui watu gani hao choka mbaya wa Ulaya na Marekani unaowaongelea labda choka mbaya by choice. Asians wenyewe wanakimbilia magharibi, what does that mean?

The US was and still is the land of opportunity. Canada is closing in. Europe ni nchi na nchi.
 
Achana nao hao. Huko anakosifia maelfu ya watu wanatoroka kwenda US na Western Europe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…