Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Kuna siku nilisema mtu mwenye kipato kizuri hawezi kwenda nje kubahatisha ukabisha sana. Haya huyo rafiki yako naona amekupa jibu.
 
Kuna siku nilisema mtu mwenye kipato kizuri hawezi kwenda nje kubahatisha ukabisha sana. Haya huyo rafiki yako naona amekupa jibu.
Mkuu unachanganya mambo hapa unaweza ukawa na kipato kizuri still ukawa unatafuta opportunity na huna uhakika nayo...huko ulaya mbali watu wamebahatisha Congo,Zambia na Angola na wapo mbali zaidi kuliko mwanzo na wanaongea...
 
Sasa mkuu
Kila aliyepo Asia anataka kuja kiwanja au Europe, wewe unasema waende Asia 🤔
Kama Europ na Ulaya visa kupata ni shida tutafanyaje ...?
 
Shida inakuja kwa Sisi tusio na connection huko, njia za kufika ni ngumu, ufumbuzi nikufanya nini?
 
Hong Kong wanatoa visa on arrival , I have been there uwe na sehemu ya kufikia tu kama ni hotel onesha booking kama kwa mtu wanataka address na show Money of atlist 100usd , Hong ni kama USA flani wana adi Timesquare garden kama ya America

and Hong Kong you should atlist have something showing there is something your doing back home kama kitambulisho cha kazi , barua ya chuo business license or anything
 

Juzi tu CANADA wamepiga simu Bank kujua kama kweli nina account pale na ile BS ni ya kwao

Ndio maana kun kitu kinapelekwa kinaitwa Bank Certificate unakiambatisha na BS
 
Ndugu zangu Nimekua kwenye hizi process za kuomba visa aisee nimejua vitu vingi sana

USA sio vyepesi
CANADA sio vyepesi
UK, AUSTRALIA and NEW ZEALAND sio kwepesi

Yaani hizo nchi hapo juu wanaigeria wao wanasema " you need a grace of GOD" kwa sisi "wanyonge" yaani utakutana tu na "I am not satisfied that you will leave Canada at the end of your stay, as stipulated in subsection 216(1) of the IRPR, based on your ...........(reasons)

cheki huyu mwamba sasa na hakati tamaa
1st Refusal (Visitor Visa applied from India in Jan 2020) - Feb 2020
2nd Refusal (Study permit applied from UAE in Nov 2020) - Dec 2020
3rd Refusal (Study permit applied from UAE in Feb 2021) - Apr 2021
Re-Applied from India on 7th May for May 2021 intake

visa za uanafunzi ni Nyepesi sana kwa nchi za EU
 
w we jamaa utakuta uko buza na simu yako ya techno unaandika nyuzi ndefuuu hamna lolote, keyboard worrier
 
Mkuu unazamia au una kamzigo?
 
Sawa mimi conman. Umefurahi sasa?

Yani umesema mimi tapeli nipo Buza.

Nimekubali mimi tapeli nipo Buza.

Ushafurahi na roho yako?
ndio nafurah. Kwa kua nshakujua. So sitaingia 18 zako
 
Wanafanya siku hizi..zamani ndio walikuwa hawafanyi au bank wenyewe watume bank statement wenyewe from official email na responsible person wa bank.
 
Aussie wanaverify kila taarifa.
 
Nyuzi kama hizi wajanja hawachezi mbali, Infos nyingi balozi wanaziverify hasa BS, Peleka documents za uwongo, unapigwa bani la miaka 10 kwa nchi kama US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…