Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

KNICKPOINT

New Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti mwingine wa mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana nimuonapo.
 
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.
 
ndugu nikusahihishe kwanza huyo ni wewe ndo uliempenda sasa baada ya wewe kua unampenda ukahisi nae anakupenda kwa sababu ya mapenzi yako juu yake..maana wanaopendana huwaga hawaachani kama umeachana jua huyo hakupendi...sasa jombaa umeshajua kwamba alikua hakupendi..why unaumia umia jombaa...just get over her..amini nakwambia sio rahisi lakini inabidi ujitahidi..wewe jitahidi uone mazuri ya huyo ulie nae tu sasa hivi..ova...
 
sielewi kabisa vijana wanaoruhusu wanawake wawatende....yaani hapo mwanaume unaonyesha udhaifu wa hali ya juu
 
Acha mambo ya ajabu, mademu kitu gani bwana?, mtoto wa kiume unaweza kuchagua kimwana yeyote na ukala mzigo, achana nae huyo.
 
nilifaulu sana somo la historia ila cha kushangaza hamjawahi kukutana kimwili lakini ni mpenzi wako
na unamuonea wivu ww ni nouma boya yaani unaangalia x huku unakata kiuno pole kamanda
ww unakutana na meo unaleta mapenzi ahahaha utaumia sana kuwa na moyo mgumu kaka
live your life ww unafikiri kwamba alikua anakupenda kumbe alikua anakuona boya
 
Kusema kweli kumpa moyo wangu demu inakuwa ngumu ndiyo maana kuna siku nilishawahi kuulizwa na demu mmoja eti mbona naonekana sina wivu naye au simpendi? We ukipata demu mwambie nakupenda ukiwa naye ukimpa kisogo msahau>>>>>>cha msingi wakati wa chakula usisahau kingaaa.
 
umefuata nini chuoni wewe, shule au umalaya????? acha ujinga wewe utaliwa kichwaa. huoni hata aibu kupost umalaya wako.
Ok, ukipata hamu ya kunanihiii, fuata wafanya biashara ambao utakuwa unamalizana noa, then biashara inaisha hufikirii tena. Halafu uje ubebwe kwenye rambo, wewe unajiona lijari!!!!!!
 
Kwamba kuna the so called "Love at First Sight" hilo halina mjadala...mjadala ni how you treat or deal with the so called "Love At First Sight!" Kwa mara nyingine, umependa msichana wa "MWAKA WA KWANZA!" Jambo la kujiuliza, mtu ambae tayari ameshamaliza kidato cha sita atakuwa hajaacha boyfriend huko alikotoka? Akili za mbayumbayu....ila tu nachotaka kukuambia, ukimpenda the same ambavyo ulimpenda huyo ambae amekumwaga, then get prepared kwa maumivu mengine shortly! Wenzako wanakuja kwako kupata mwenza wa ku-pass time, mwenzetu unaingia kichwa kichwa!

Here's a piece of advice....wasichana wengi wanakuja vyuoni as first year students wakiwa wameacha boyfriends wao huko walikotoka! Unavyokuwa na watu kama hawa lazima ufahamu kwamba unaanza kwa kuegesha huku ukiangali upepo unavyokwenda....with time, ndipo utafahamu kwamba uingie mzima mzima au bado mdogo mdogo! Acha kujifanya unajua kupenda...!
 
Ni kupoteza muda kuhangaika na mtu ambaye hakutaki, kwa nini mnapenda kujiumiza bila sababu?
 
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.

Andika kiswahili kwa ufasaha au usifupishe maneno kwa utaratibu ambao haupo.
 
Hebu soma kwanza we hujui kwamba ukishabalansisha maisha mambo mengine yanaenda sawa.
 
Kumbe hata hujawahi kukutana nae kimwili sasa mawivu yote ya nini na wakati ushapata mwingine? Penda kwa akili asee usipoangalia hata huyo atakutenda mda si mrefu..
 
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.

hivi huwezi kuandika vizuri??
Unafikiri hapa ni facebook???
 
Love is a two way traffic...give and take!
 
Back
Top Bottom