Ninaumia sana yanayoendelea Jumuiya ya Madola

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Ndugu Zangu.

Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.

Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo yanayofanyika mimoi sikubaliani nayo yabisa na ninaamini haya mambo yangeweza kufanyika kwa njia tofauti na mengine yasingstahili kufanyika. mafano mauwaji ya October 29, Upotevu wa raia bila maelezo mfano akina pole pole na Bunge la kuitetea serikali badala ya kuipima.

pamoja na kutoridhika na yote haya siwezi kushangilia vikwazo vyovyote juu ya Tanzania, mwisho wa siku wa kuumia ni raia wa kawaida, misaada inayozuiwa mwish wa siku tunaumia sisi raia wa kawaida.

Ninaamini hata hawa machawa hawawezi kuwa hawalioni hili lakini wameamua kukausha shingo. Ninaomba mwenye Mungu awape hekima wafanya maamuzi waweze kuina haya.

Kenya wameanzisha mtindo wa siku ya maombi kitaifa, Tunahitaji huruma ya Mungu kijikwamua kutoka hapa kwasababu naona wingu zito sana mbele yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu waongoze viongozi wetu.

Amen.
 
ni yapi mazuri hayo yanayofanywa na hii regime? unaweza kunitajia hata moja tu? ...
Labda ana maanisha wapigaji wa hela za serikali kuwa huru kupiga hela.

Maana kuna bwana mdogo m'moja hana hata miaka mitatu serikalini ila muda huu anajenga nyumba ya tatu na ana gari mbili za kutembelea na anakwenda kuoa soon na hajavuka hata 28. Sasa huwa najiuliza maswali sipati majibu.
 
Ndugu Zangu.

Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.
"Hekima ya Mungu iwaongoze"..

Umemaliza Vivian!
 
Ndugu Zangu.

Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.

Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo yanayofanyika mimoi sikubaliani nayo yabisa na ninaamini haya mambo yangeweza kufanyika kwa njia tofauti na mengine yasingstahili kufanyika. mafano mauwaji ya October 29, Upotevu wa raia bila maelezo mfano akina pole pole na Bunge la kuitetea serikali badala ya kuipima.

pamoja na kutoridhika na yote haya siwezi kushangilia vikwazo vyovyote juu ya Tanzania, mwisho wa siku wa kuumia ni raia wa kawaida, misaada inayozuiwa mwish wa siku tunaumia sisi raia wa kawaida.

Ninaamini hata hawa machawa hawawezi kuwa hawalioni hili lakini wameamua kukausha shingo. Ninaomba mwenye Mungu awape hekima wafanya maamuzi waweze kuina haya.

Kenya wameanzisha mtindo wa siku ya maombi kitaifa, Tunahitaji huruma ya Mungu kijikwamua kutoka hapa kwasababu naona wingu zito sana mbele yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu waongoze viongozi wetu.

Amen.
Uzembe na Mungu wapi na wapi?
 
Mimi nawaombea wapofuke kabisa ili mwisho wao uwahikufika,ichi yetu irejee kwenye amani ya kweli iliyoambatana na haki za msingi za kiraia na maisha yao.
 
Ndugu Zangu.

Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.

Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo yanayofanyika mimoi sikubaliani nayo yabisa na ninaamini haya mambo yangeweza kufanyika kwa njia tofauti na mengine yasingstahili kufanyika. mafano mauwaji ya October 29, Upotevu wa raia bila maelezo mfano akina pole pole na Bunge la kuitetea serikali badala ya kuipima.

pamoja na kutoridhika na yote haya siwezi kushangilia vikwazo vyovyote juu ya Tanzania, mwisho wa siku wa kuumia ni raia wa kawaida, misaada inayozuiwa mwish wa siku tunaumia sisi raia wa kawaida.

Ninaamini hata hawa machawa hawawezi kuwa hawalioni hili lakini wameamua kukausha shingo. Ninaomba mwenye Mungu awape hekima wafanya maamuzi waweze kuina haya.

Kenya wameanzisha mtindo wa siku ya maombi kitaifa, Tunahitaji huruma ya Mungu kijikwamua kutoka hapa kwasababu naona wingu zito sana mbele yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu waongoze viongozi wetu.

Amen.
Mkuu Vivian, hoja yako ina chembechembe za uzalendo lakini ina upofu mkubwa wa kiuhalisia (political naivety). Sikubaliani na wewe hata kidogo.
Huwezi kulia kuhusu kupotea kwa akina Polepole na mauaji ya October 29, huku hapo hapo ukitaka nchi iachwe iendelee kupokea mabilioni ya misaada yanayotumika kununulia vifaa vya kukandamiza raia!
  • Somo kutoka Afrika Kusini: Historia inatufundisha kuwa madikteta hawaondoki kwa kuombewa au kwa huruma. Utawala wa kikandamizaji wa Apartheid nchini Afrika Kusini haukuanguka kwa sababu Makaburu walitubu kwenye "Siku ya Maombi." Ulianguka kwa sababu dunia iliweka vikwazo vikali vya kiuchumi, kijeshi, na hata vya michezo. Raia walikubali kuumia kwa muda mfupi ili kupata uhuru wa kudumu. Shinikizo la nje ni silaha halali pale ambapo mifumo ya ndani ya nchi imekufa.
  • Unachochea Unyonge: Kutegemea maombi huku viongozi wanavunja sheria ni kukata tamaa kuliko pitiliza. Mungu ameshatupa akili na mifumo ya kudai haki zetu.
  • Dawa ya Jipu: Vikwazo ni kama upasuaji wa jipu. Unauma sana, lakini ndiyo njia pekee ya kutoa usaha unaoeneza ugonjwa kwenye mwili wa Tanzania yetu.
 
Mpaka tufike huko tutakua hoi
 
dini ni utapeli , mnaomba kwa nani?. swala ni nyie kubadirika
 
Back
Top Bottom