Ninaumia sana yanayoendelea Jumuiya ya Madola

Ndugu Zangu.

Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.

Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo yanayofanyika mimoi sikubaliani nayo yabisa na ninaamini haya mambo yangeweza kufanyika kwa njia tofauti na mengine yasingstahili kufanyika. mafano mauwaji ya October 29, Upotevu wa raia bila maelezo mfano akina pole pole na Bunge la kuitetea serikali badala ya kuipima.

pamoja na kutoridhika na yote haya siwezi kushangilia vikwazo vyovyote juu ya Tanzania, mwisho wa siku wa kuumia ni raia wa kawaida, misaada inayozuiwa mwish wa siku tunaumia sisi raia wa kawaida.

Ninaamini hata hawa machawa hawawezi kuwa hawalioni hili lakini wameamua kukausha shingo. Ninaomba mwenye Mungu awape hekima wafanya maamuzi waweze kuina haya.

Kenya wameanzisha mtindo wa siku ya maombi kitaifa, Tunahitaji huruma ya Mungu kijikwamua kutoka hapa kwasababu naona wingu zito sana mbele yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu waongoze viongozi wetu.

Amen.
Kuna huyu jamaa leo asubuhi, nimefika tu ofisini, wala sijakaa vizuri anaanza stori za ******* za kuilaumu Jumuiya ya Madola na Chadema. Nikabaki tu kumsikiliza anavyobwajaja hadi amemaliza.
 
Ni uelewa mdogo tu. Sema viongozi wetu wameamua kua na msimamo mkali.
 
Watu wakikuchukia wanakuchukia tu kama huoni hata zuri Moja kuna haja gani ya kuambia na ume amua kuwa hivyo?

nimewapa changamoto ya kunitajia hilo 1 tu "zuri" hii regime imelifanya ...
 
Ndugu Zangu.

Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola.
Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali.

Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo yanayofanyika mimoi sikubaliani nayo yabisa na ninaamini haya mambo yangeweza kufanyika kwa njia tofauti na mengine yasingstahili kufanyika. mafano mauwaji ya October 29, Upotevu wa raia bila maelezo mfano akina pole pole na Bunge la kuitetea serikali badala ya kuipima.

pamoja na kutoridhika na yote haya siwezi kushangilia vikwazo vyovyote juu ya Tanzania, mwisho wa siku wa kuumia ni raia wa kawaida, misaada inayozuiwa mwish wa siku tunaumia sisi raia wa kawaida.

Ninaamini hata hawa machawa hawawezi kuwa hawalioni hili lakini wameamua kukausha shingo. Ninaomba mwenye Mungu awape hekima wafanya maamuzi waweze kuina haya.

Kenya wameanzisha mtindo wa siku ya maombi kitaifa, Tunahitaji huruma ya Mungu kijikwamua kutoka hapa kwasababu naona wingu zito sana mbele yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu waongoze viongozi wetu.

Amen.
Hapa ni watenganishe watu utawale, mzanzibara Vs mzamzibari, mwezi Vs nyota, nyota ya ujerumani Vs nyota ya Italia
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90
: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Back
Top Bottom