Ninaumia sana yanayoendelea Jumuiya ya Madola

Kuna huyu jamaa leo asubuhi, nimefika tu ofisini, wala sijakaa vizuri anaanza stori za ******* za kuilaumu Jumuiya ya Madola na Chadema. Nikabaki tu kumsikiliza anavyobwajaja hadi amemaliza.
 
Kuna huyu jamaa leo asubuhi, nimefika tu ofisini, wala sijakaa vizuri anaanza stori za ******* za kuilaumu Jumuiya ya Madola na Chadema. Nikabaki tu kumsikiliza anavyobwajaja hadi amemaliza.

Ni uelewa mdogo tu. Sema viongozi wetu wameamua kua na msimamo mkali.
 
Watu wakikuchukia wanakuchukia tu kama huoni hata zuri Moja kuna haja gani ya kuambia na ume amua kuwa hivyo?

nimewapa changamoto ya kunitajia hilo 1 tu "zuri" hii regime imelifanya ...
 
Hapa ni watenganishe watu utawale, mzanzibara Vs mzamzibari, mwezi Vs nyota, nyota ya ujerumani Vs nyota ya Italia
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90
: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…