Ninaumizwa sana na hawa Wachungaji ambao sisi sote tunajua ni matapeli

Ninaumizwa sana na hawa Wachungaji ambao sisi sote tunajua ni matapeli

Ajira ni ngumu, maisha ni msongamano,

All means and alternatives of obtaining something on the table towards stomach are in actions.

Suluhu ni kwamba yeye akiomba na wewe unaomba mnakwenda sambamba...
 
Mtu yeyote anayeendesha maisha kwa sadaka ni tapeli. Yesu na mitume wake walikuwa na kazi za kufanya. Na hata walipopata msaada haukuwa wa kuwa matajiri bali kujivika na kula basi.

Yeyote anayeendesha maisha yake kwa sadaka ni mvivu na tapeli, anatakiwa kunyanyapaliwa kwa tabia yake hiyo.
 
Kazi kwako umepewa maarifa ya kuwatambua wepi wa kweli wepi wa uongo maana kwenye msafara wa mamba kenge wapo.

Wasingekuwepo Biblia ingekuwa ni kitabu cha uongo.

Acha ngano na magugu vikue pamoja.
 
Njoo Islam dini ya kweli. Utaenda msikitini kuswali na kuomba buree. Sadaka ni option na ni kidogo. Dini ishatuambia wenye uwezo wachangie.

Bahati wenye wamejaaliwa mali wanatambua hilo wanajenga sehemu za ibada. Wala hawajikadhibishi bali wanamkabithi M. Mungu. sisi tunaingia na kuabudu tu.
 
Hakuna dini iliyokamili,acha kuleta propaganda,nimeshuhudia waumini na maimamu wakigombea sadaka misikitini.
 
Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.
Nina ushuhuda na nina uhakika MANABII wote wa sasa, ni wapigaji tu, HAKUNA anayefanya kazi ya Mungu. Kama kweli wangekuwa wanamtumikia Mungu basi wasipokee hela yeyote wanapokwenda kuhubiri kwani huko waendako wanapokelewa na wenyeji na wanalala na kula bure, hela za nini kwao? Na wapi imeandikwa kwamba msanii (Muhubiri, Mchungaji, Nabii, Muumba, Sheikh, Ustadh) akihutubia lazima alipwe, nionyesheni.
 
Wasipokee hela kwa maana ipi mkuu? Kwa maana ya sadaka au posho?
 
Yesu
Mtu yeyote anayeendesha maisha kwa sadaka ni tapeli. Yesu na mitume wake walikuwa na kazi za kufanya. Na hata walipopata msaada haukuwa wa kuwa matajiri bali kujivika na kula basi.

Yeyote anayeendesha maisha yake kwa sadaka ni mvivu na tapeli, anatakiwa kunyanyapaliwa kwa tabia yake hiyo.
Yesu alikuwa ananfanya kazi gani mkuu,hebu niongezee ilimu!
 
Sadaka na posho ni yale yale tu kwani si wanazila na kujitajirisha au wanampelekea Mungu?
Wewe umeshawahi kumuona Mungu ukampa sadaka? Si ni lazima ipite kwa mtu na ataila, iwe ni yatima, mjane au mchungaji - ataila tu
 
Wewe umeshawahi kumuona Mungu ukampa sadaka? Si ni lazima ipite kwa mtu na ataila, iwe ni yatima, mjane au mchungaji - ataila tu
Ndiyo maana yangu, Mungu hajawahi kumuomba mwanadamu hela hata siku moja ila wanadamu ndiyo tunachezeana akili tu kuwa Mugu anataka sadaka.
 
Ndiyo maana yangu, Mungu hajawahi kumuomba mwanadamu hela hata siku moja ila wanadamu ndiyo tunachezeana akili tu kuwa Mugu anataka sadaka.
Mungu hamuombi mtu fedha, Mungu anasema umuombe (usali) yeye kwa bidii pasipo kukoma lakini uombe na kutoa dhabihu (sadaka). Amesema kuwa mafungu ya kumi ya kila upatacho, mtolee yeye iwe ni fedha au mazao au mifugo.

Amesema mtu ujitoe sadaka mwili wako wewe mwenyewe kwa kufunga (fasting). Sasa watu wanapotoa sadaka, haimaanishi wanampa Mungu fedha.. ili akazitumie wapi?? Mungu anaangalia moyo wa mtu na ilipo hazina ya mtu ndipo moyo wake ulipo. Yaani mtu hawezi kusema anampenda Mungu ila anaona kuwapa wahitaji fedha yake ni jambo gumu au ni utapeli.
 
Njoo Islam dini ya kweli. Utaenda msikitini kuswali na kuomba buree. Sadaka ni option na ni kidogo. Dini ishatuambia wenye uwezo wachangie.

Bahati wenye wamejaaliwa mali wanatambua hilo wanajenga sehemu za ibada. Wala hawajikadhibishi bali wanamkabithi M. Mungu. sisi tunaingia na kuabudu tu.
Takbiiiir!!
 
Mnaweza kujadili vile mnavyofikiri kwa sababu ya hizo sadaka lakini mnasahau kuwa kuwa mchungaji hakuondoi mahitaji ya kibinadamu, wanahitaji kusomesha Kama unavyosomesha wewe, wanahitaj kukaa mahali pazuri Kama unavyopambana wewe ukae mahali pazuri

Wakati Mungu anagawa urithi kwa wana waisrael kabila la lawi hawakupata urithi wowote, wao walitakiwa wale vile vinavyoletwa madhabahuni na hao ndugu zao maana wao kazi yao ilikuwa kutumika madhabahuni hawakupaswa kulima au kufanya kazi yoyote ya kiuchumi, kwahiyo walitakiwa kuishi kutikana na hizo sadaka. Sasa mtu unaposema mchungaji ameenda kuhubiri asipewe chochote kwa sababu amehudumiwa unatakiwa kujiuliza alienda na familia yake??... Lakini maandiko yanasema mtenda kazi astahili posho lake.

Hebu tutafakari hapa unamgonjwa ukaenda kumfuata mtumishi amuombee akapona kwani hutakiwi kumshukuru Mungu?? Na ukimshukuru kwa sadaka atachukua nani Kama sio huyo mchungaji aliyekuja?

Huko kwa manabiii mnayataka wenyewe kwenda kupigwa kwasababu nabii huwa hajitangazi anayejitangaza ni tapeli.

Kingine unapotoa sadaka imani yako unaiweka wapi kwa Mungu au kwa anayepokea sadaka yako? Unapotoa sadaka weka imani kwa Mungu usiweke imani kwa anayepokea kwa sababu sadaka haziend mbinguni zinatumika hapa hapa katika kufanya kazi ya Mungu.

Hitimisho huwezi kutumia sadaka kumtambua mchungaji wa kweli au asiye wa kweli mbona kwa waganga mnapeleka sadaka na hamuwalalamikii kwa utapel wa kupokea sadaka?? Bibilia inasema mtawatambua kwa matendo yao.

LINDA SANA IMANI YAKO, KWA SABABU MCHUNGAJI, NABII AU MTUME HANA NAFASI YA KUKUTETEA BALI MUNGU NDIYE ATAKUTETEA
 
Back
Top Bottom