Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Njoo Islam dini ya kweli. Utaenda msikitini kuswali na kuomba buree. Sadaka ni option na ni kidogo. Dini ishatuambia wenye uwezo wachangie.
Bahati wenye wamejaaliwa mali wanatambua hilo wanajenga sehemu za ibada. Wala hawajikadhibishi bali wanamkabithi M. Mungu. sisi tunaingia na kuabudu tu.
Nina ushuhuda na nina uhakika MANABII wote wa sasa, ni wapigaji tu, HAKUNA anayefanya kazi ya Mungu. Kama kweli wangekuwa wanamtumikia Mungu basi wasipokee hela yeyote wanapokwenda kuhubiri kwani huko waendako wanapokelewa na wenyeji na wanalala na kula bure, hela za nini kwao? Na wapi imeandikwa kwamba msanii (Muhubiri, Mchungaji, Nabii, Muumba, Sheikh, Ustadh) akihutubia lazima alipwe, nionyesheni.Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.
Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.
Hii kitu inaniumiza sana.
Wasipokee hela kwa maana ipi mkuu? Kwa maana ya sadaka au posho?Nina ushuhuda na nina uhakika MANABII wote wa sasa, ni wapigaji tu, HAKUNA anayefanya kazi ya Mungu. Kama kweli wangekuwa wanamtumikia Mungu basi wasipokee hela yeyote wanapokwenda kuhubiri kwani huko waendako wanapokelewa na wenyeji na wanalala na kula bure, hela za nini kwao? Na wapi imeandikwa kwamba msanii (Muhubiri, Mchungaji, Nabii, Muumba, Sheikh, Ustadh) akihutubia lazima alipwe, nionyesheni.
Sadaka na posho ni yale yale tu kwani si wanazila na kujitajirisha au wanampelekea Mungu?Wasipokee hela kwa maana ipi mkuu? Kwa maana ya sadaka au posho?
Yesu alikuwa ananfanya kazi gani mkuu,hebu niongezee ilimu!Mtu yeyote anayeendesha maisha kwa sadaka ni tapeli. Yesu na mitume wake walikuwa na kazi za kufanya. Na hata walipopata msaada haukuwa wa kuwa matajiri bali kujivika na kula basi.
Yeyote anayeendesha maisha yake kwa sadaka ni mvivu na tapeli, anatakiwa kunyanyapaliwa kwa tabia yake hiyo.
Wewe umeshawahi kumuona Mungu ukampa sadaka? Si ni lazima ipite kwa mtu na ataila, iwe ni yatima, mjane au mchungaji - ataila tuSadaka na posho ni yale yale tu kwani si wanazila na kujitajirisha au wanampelekea Mungu?
Ndiyo maana yangu, Mungu hajawahi kumuomba mwanadamu hela hata siku moja ila wanadamu ndiyo tunachezeana akili tu kuwa Mugu anataka sadaka.Wewe umeshawahi kumuona Mungu ukampa sadaka? Si ni lazima ipite kwa mtu na ataila, iwe ni yatima, mjane au mchungaji - ataila tu
Mungu hamuombi mtu fedha, Mungu anasema umuombe (usali) yeye kwa bidii pasipo kukoma lakini uombe na kutoa dhabihu (sadaka). Amesema kuwa mafungu ya kumi ya kila upatacho, mtolee yeye iwe ni fedha au mazao au mifugo.Ndiyo maana yangu, Mungu hajawahi kumuomba mwanadamu hela hata siku moja ila wanadamu ndiyo tunachezeana akili tu kuwa Mugu anataka sadaka.
Takbiiiir!!Njoo Islam dini ya kweli. Utaenda msikitini kuswali na kuomba buree. Sadaka ni option na ni kidogo. Dini ishatuambia wenye uwezo wachangie.
Bahati wenye wamejaaliwa mali wanatambua hilo wanajenga sehemu za ibada. Wala hawajikadhibishi bali wanamkabithi M. Mungu. sisi tunaingia na kuabudu tu.