Ninaumizwa sana na hawa Wachungaji ambao sisi sote tunajua ni matapeli

Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.
Njoo kwenye dini yako ya asili Uislam. Unafanya ibada zako msikiti wowote bila bughudha ya fungu la kumi na sadaka.
 
Mungu wa rehema na amani atupe akili ya kutambua vitu vya kiroho. Hata Paulo alivyokua anaenda kuhubiri alifanya kazi kwa mikono yake ili apate kula.
 
Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.
Hii aliisema Pastor Mgogo kwenye clip yake ya I drive!! I drive!! I receive I receive
 
Yesu alifanya kazi gani?
 
Tupe mstari ambao ulionyesha yesu alifanya kazi.
 
Tupe mstari ambao ulionyesha yesu alifanya kazi.

Mk 6:3 SUV​

Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
 
Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.
Dunia hii...

Kila mwenye ngoma yake na ipige [emoji1787]
 
Ajira ni ngumu, maisha ni msongamano,

All means and alternatives of obtaining something on the table towards stomach are in actions.

Suluhu ni kwamba yeye akiomba na wewe unaomba mnakwenda sambamba...
[emoji1787][emoji1787]
 
Akina nani na ulikutana nao wapi mpaka wakakuambia?

Mk 6:3 SUV​

Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
 
Mk 6:3 SUV​

Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Alipofilisha miaka 30 akaanza kuhubiri injili, alikuwa anaendelea na useremala?
 
Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.
Sema baadhi

Kusema una uhakika mia kwa mia ni uongo. Kanunii za statistics za ukusanyaji takwimu zinagoma

Hizo takwimu zako kuwa asilimia mia unatakiwa nchi nzima mijini na vijijini madhehebu yote yenye wachungaji wawe Lutheran, Anglican, Sabato,Pentecoste nk wote uwapitie mmoja baada ya mwingine kila kanisa ndio uje na hiyo conclusion ya kuwa una uhakika mia kwa mia matapeli

Kwa sasa taarifa yako.ni uongo pepo mkubwa wewe mtumishi wa shetani uliyejaa mapepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…