Ninaumizwa sana na hawa Wachungaji ambao sisi sote tunajua ni matapeli

Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.
Tokeni huko mlipo kabla hamjachelewa.
 
Sadaka ilenge kwa muhitaji wa kweli. Mfano wa anayestahili kutolewa Sadaka ni yule ambaye anashindwa kutimiza hata mahitaji muhimu.
Sasa unapomchangia mchungaji ili akanunue Prado hapo itakua ni kinyume na maana halisi ya sadaka.
By the way wachungaji wasingejishughulisha na mambo ya kidunia mfano marimba ya kifahari magari. Kwani tunafahamu haya ni ya mpito tu maisha yenyewe tutaenda yakuta mbinguni.
 
Kuna uchungaji na wachungaji
Kuna wale ambao baada ya kutafuta ajira zikagoma wanageuza makanisa kuwa ajira mbadala
#akili kichwani
 
Alipofilisha miaka 30 akaanza kuhubiri injili, alikuwa anaendelea na useremala?
Hakuna sehemu ilisemwa aliacha kazi yake ya Useremala. Hata wafuasi wake walipiga kazi. Paulo nasikia alitengeneza mahema. Hata walijisifu kuwa walifanya kazi hawakuwa tegemezi.
 
Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.
Wajinga ni hao wanaoenda, kama wasingewafuata mbona wangeacha huo utapeli wao
 
Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka.

Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka.

Hii kitu inaniumiza sana.

Tatizo wale wanaohubiri mitaani huwa wanafanya Kama mradi. Unakuta mtu anahubiri kwenye basi halafu akimaliza anadai sadaka kila siti. Nadhani wanahitaji elimu.
 
Tofautisha dini na imani. Kuna dini ya kiislamu na imani ya kiislamu. Nenda hapo Somalia ndio utajua tofauti ya dini ya kiislamu na imani ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…