Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Pole sana so hiyo inaweza kuwa ni juju washakuloga karibu Mozambique utapona mkuu
 
Matatizo ya kupenda mijimama wengine wana ngoma. kapime haraka ili uanze dozi
 
Mke wa mtu sumu. Achana nao banah la msingi check na Mshana jr atakusaidia
 
Mtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?

Acheni masihara na "kuumwa sana"

Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.

Gadem!
hahaha
 
Kweli wewe saizi yako ni Mshana jr tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…