Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Pole sana so hiyo inaweza kuwa ni juju washakuloga karibu Mozambique utapona mkuu
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ninasikitika sana wana jf wezangu hali yangu si nzur kabisa naumwa sana jaman

Homa kali imenikamata toka juz lakin jana na leo imezidi jaman

Naomba mniombee ndugu zangu naumwa sana

Jana usiku ndo nilijuwa nakata moto kabisa nimeenda hospital nimepima lakin madakitar hawajaona ugonjwa wowote lakin natapika, natetemeka nahis kizungu zungu na kichwa kinagonga sana vile vile nahis kama barid na joto hapo hapo

Naumia sana maana siyo kwamba sina pesa za kujitibu pesa zipo lakin sasa sijui naumwa kitu gan

Naumia sana

Niomben ndugu zangu

Wenu london boy
Matatizo ya kupenda mijimama wengine wana ngoma. kapime haraka ili uanze dozi
 
Mke wa mtu sumu. Achana nao banah la msingi check na Mshana jr atakusaidia
 
Mtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?

Acheni masihara na "kuumwa sana"

Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.

Gadem!
hahaha
 
Kweli wewe saizi yako ni Mshana jr tu
 
Back
Top Bottom