Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ya kupenda mijimama wengine wana ngoma. kapime haraka ili uanze doziAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ninasikitika sana wana jf wezangu hali yangu si nzur kabisa naumwa sana jaman
Homa kali imenikamata toka juz lakin jana na leo imezidi jaman
Naomba mniombee ndugu zangu naumwa sana
Jana usiku ndo nilijuwa nakata moto kabisa nimeenda hospital nimepima lakin madakitar hawajaona ugonjwa wowote lakin natapika, natetemeka nahis kizungu zungu na kichwa kinagonga sana vile vile nahis kama barid na joto hapo hapo
Naumia sana maana siyo kwamba sina pesa za kujitibu pesa zipo lakin sasa sijui naumwa kitu gan
Naumia sana
Niomben ndugu zangu
Wenu london boy
MmhhhLipa madeni ya watu mapemaaa..ili usiwape shida utakaowaacha
Ila pole
HahahaaaUmepima upungufu wa kinga mwilini!? Isijekuwa uliwapa limit madaktari vitu vya kukupima
AiseeMke wa mtu sumu. Achana nao banah la msingi check na Mshana jr atakusaidia
Lipa madeni ya watu mapemaaa..ili usiwape shida utakaowaacha
Ila pole
hahahaMtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?
Acheni masihara na "kuumwa sana"
Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.
Gadem!