mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Huna adabu kima wewe,
Maono ya Mama...! ya kuuwa watu ndo maono?

Tanzania Kuna wajinga wengi sana kama huyuMimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
Aongezewe muda Hadi 2037, Duuh chawa pro!Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
Nchi ina pande mbili, Kila upande una haki kwa mujibu wa katiba. Katiba pamoja na kuwa kijitabu tu ni mwongozo unaotoa haki sawa kwa wote, Upande mmoja wa Muungano umetoa haki nyingi kwa upande mwingine ambao ni mdogo sana kuwa na nguvu sawa, hii haimaanishi kuwa watu wake hawana sauti, wanayo sauti lakini wameamua kuwa kimya kwa maslahi ya umoja, katika historia ya nchi hii na chama Cha Mapinduzi kumekuwa na kushindana kwa hoja katika kuijenga nchi hii, hakuna hata mtu mmoja anaimiliki peke yake, ni nchi ya wote.Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
Ukishauwasha moto wa petroli, tone likikurukia unaungua wewe na kuwa majivu.Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
kengebuda wewe!, wengine huwa haiwezekani, ukimtupa tu mnazama woteIla kweli.
Yani inakuwaje mko bahari mnasafiri na boat alafu anatokea kiroboto mmoja anatoboa ilo ⛵!?, si bora mumtumbukize yeye bahari ili kuokoa wengi.
Wazanzibar na watanzaniaMimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
Hainipunguzii chochote.2Wenzio wote nime wa Ignore.
Umebaki peke yako.
Baada ya sekunde Tatu nikipost Huna tena Maisha
Naku IGNORE.
Hainipunguzii chochote.2
Hauko serious hata kidogo! Ni kwamba Watanganyika wazalendo tutakuwa wote tumekufa hiyo 2030 hata turuhusu huyo Mzanzibari wenu aendelee tena kuiangamiza nchi yetu, kwa manufaa yenu nyinyi wahuni wachache, au!Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
Bi msumi = yesuMimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.
Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.