Ninaunga mkono kwa 100% operation ya kuwatoa wamachinga barabarani. Rais Samia umepiga mahali sahihi

Ninaunga mkono kwa 100% operation ya kuwatoa wamachinga barabarani. Rais Samia umepiga mahali sahihi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Mji wa Dar es salaam unanuka mavi , au niseme unanuka harufu mbaya, na hii ni matokeo ya wamachinga kuweka biashara juu ya mitaro yote hapa Dar es salaam.

Unakuta sehemu juu kuna biashara ya vyakula au biashara zingine ukichungulia uvunguni kwenye mtaro kulivyo plus harufu inayotoka hapo mpaka unajiuliza hivi kati ya wanunuzi au mmachinga anayekaa na ku settle kwenye mtaro wenye harufu ya kinyesi nani mwehu 😭😭😭😭.

Serikali inalipa billions of money kwa kampuni ya SUMA JKT ili wafanye usafi , lakini wanafanyeje kwenye mitaro ambayo karibu yote imezibwa na wamachinga wasio na shukrani?

Sababu ya pili kwanini niunge mkono operation hii ni kwamba hawa Watanganyika hawana shukrani.

Rais Samia kufanya mambo makubwa kuliko Marais wote lakini kutwa kutwa kazi ya kumsifia Magufuli na kumtukana Rais Samia.

Waminywe vizuri hawa wasiojua kushukuru.
Watanzania hawataki mema .

Soma pia Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka
 
Back
Top Bottom