Homa la jiji
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 129
- 28
Nahitaji mawasiriano yakoHabari wakuu.
Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.
Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.
Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.
Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.
Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.
Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.
Tunaweza kuwasiliana kupitia PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.
Kwa wahitaji karibuni sana.
ardhi n mchanga au ndo mfinyanzi ka alvosema mmojaHata siku moja.
Nimefika huko bado sana kwa kusema kilimo.
Sio kama nakuharibia biashara hapana, picha nazo ungetuma zingesaidia ila hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
KAKA KUNA KAMPUNI WANAJIITA KVP INTERPISES KAMA SIJAKOSEA WANAUZA MASHAMBA FUKUSIYO BAGAMOYO KILA JUMAMOSI WANAWAPELEKA WATU KUWAONYESHA JE NA WEWE NI HAO AU, HIYO FUKUSIYO INA UKUBWA GANI MBONA MASHAMBA HAYAISHI JAMANI AU HAKUFAIHabari wakuu.
Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.
Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.
Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.
Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.
Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.
Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.
Tunaweza kuwasiliana kupitia PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.
Kwa wahitaji karibuni sana.
Pole na hongera kwa kuwa makini mkuuUmenikumbusha mbali aise miaka iliyopita ilibaki kidogo nitapeliwe huko bagamoyo ila nashukuru nikaelekea pande za kiwangwa nikafanikiwa kupata napo matapeli wanapatikana pia jambo la msingi ni kuwa makini sana.
Nashukuru nduguSamahani Mkuu Hayo mashamba ni yale yaliyochukuliwa na kanisa la KKKT kule fukayosi maana nilifika huko miaka ya nyuma aise ila utapata mteja hakuna tatizo Ndugu.
Jitahidi uongeze kidogo mkuu ili uweze kushindana na wenzio walio na bei ya juu ya hapoMwezi august kati ya tarehe 12-15 ntakuwa nina 2 millions nadhan naweza kuktafuta sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...poa muda ukifika tutajuaJitahidi uongeze kidogo mkuu ili uweze kushindana na wenzio walio na bei ya juu ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama Upo Interested karibu ufike uone maana hakuna sababu ya kudanganyana
Mkuu sijaweza kuwatambua hao KVP Enterprises kwa sasa.KAKA KUNA KAMPUNI WANAJIITA KVP INTERPISES KAMA SIJAKOSEA WANAUZA MASHAMBA FUKUSIYO BAGAMOYO KILA JUMAMOSI WANAWAPELEKA WATU KUWAONYESHA JE NA WEWE NI HAO AU, HIYO FUKUSIYO INA UKUBWA GANI MBONA MASHAMBA HAYAISHI JAMANI AU HAKUFAI
Mkuu unajua hii ni Pwani hivyo mchanga haukosekaniNapajua
Ukiianza ni kichanga hadi kule sehemu wanapolima nanasi, mbele kwenye mapoli ni mfinyanzi.
Tena porini
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa uongo kusema mchanga hakuna japo nanasi zinastawi.
Mimi nimefika na nimeona.Itakuwa uongo kusema mchanga hakuna japo nanasi zinastawi.
Kwa hiyo hoja ya mchanga sidhani kama ina tija.
Kikubwa muhusika aangalie kama ni kilimo afanye tafiti kwanza kuhusu mazao yanayoweza kustawi vyema katika hali hii kwa kuwa kila zao lina mazingira yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi siyo mgeni huku na unachosema ninakifahamuMimi nimefika na nimeona.
Sehemu waliotaka kuniuzia pana hadi vichuguu, Sasa kama unataka nenda.
Bado naendelea kusema ni mfinyanzi
Sent using Jamii Forums mobile app