Mkuu mbona ulisema eneo lako limezungushiwa uzio? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shambani wakati wa kuweka beacon sehemu zilizopimwa japo chini zipo beacon halisi,
View attachment 548125
View attachment 548126
Sent using Jamii Forums mobile app
Limezungushiwa kingo kwa maana ya beacon siyo fensi kiongoziMkuu mbona ulisema eneo lako limezungushiwa uzio? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tena nimeainisha kila kitu mkuuUkubwa wake na pesa unayouzia bei
Wadau wanajitokeza ila hawafiki bei mkuuKweli sahv pesa zimejichimbia Eka 2 kwa 3mln na mpka sasa hajatokea mtu!
Ova
Usikate tamaa,atatokea tu
Naomba usibishane nae mkuu...Mimi nipo mwanza ila ratiba zimebana ningekutafutaMkuu nilichosema ni kwamba eneo linafaa kwa kilimo cha nanasi pia, pia siyo kweli umepitishwa maeneo yote panapolimwa nanasi na hujakuta hata sehemu moja haiuzwi kwa kuwa ninawafahamu watu wengi wanaouza maeneo hata yakiwa tiyari yameshaoteshwa nanasi tiyari.
Usijaribu kupotosha umma kwa findings zako za uongo boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mkuuNaomba usibishane nae mkuu...Mimi nipo mwanza ila ratiba zimebana ningekutafuta
Sent using Jamii Forums mobile app