SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Mkuu,
Weka namba yako ya Simu siyo kuweka pm maana, kuiweka hapa namba inasaidia kuonesha kuwa kweli uko makini na uwanja huo hauna tatizo.
 
Mkuu,
Weka namba yako ya Simu siyo kuweka pm maana, kuiweka hapa namba inasaidia kuonesha kuwa kweli uko makini na uwanja huo hauna tatizo.
Shamba halina tatizo na utaratibu wangu wale walio serious nawasiliana nao PM bila shida mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangaza sasa nyumba,viwanja ,mashamba,majengo kupitia www.shushabei.com
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…