Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
kwa hyo, we ndio hadija kopa?Nenda zoom ama kupatana dot com mzee utauza fasta. Hapa ni mambo ya mipasho tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaojitokeza sema hawafiki beiHii bei mbona ni nzuri tu.jamani hela imekuwa ngumu kiasi hicho
Mkuu unakosea sana!Huku ndio wanasemaga Muuzaji Feki,
Anakuja na babake Feki,
Na mashahidi wake Feki,
Wanakuja na Majirani kuhakiki mipaka ambao ni Feki,
Mnasainishiana kwa Serikali za Mitaa Ofisi Feki,
Mnamkuta Mwenyekiti Feki,
Unaandaliwa Documents za Mauziano ambazo ni Feki.
Mwisho wa siku zoezi zima linakua ni feki, only tu kwamba hela ulizolipa ndio Original.