SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Hii bei mbona ni nzuri tu.jamani hela imekuwa ngumu kiasi hicho
 
Huku ndio wanasemaga Muuzaji Feki,
Anakuja na babake Feki,
Na mashahidi wake Feki,
Wanakuja na Majirani kuhakiki mipaka ambao ni Feki,
Mnasainishiana kwa Serikali za Mitaa Ofisi Feki,
Mnamkuta Mwenyekiti Feki,
Unaandaliwa Documents za Mauziano ambazo ni Feki.

Mwisho wa siku zoezi zima linakua ni feki, only tu kwamba hela ulizolipa ndio Original.
Mkuu unakosea sana!

Binafsi sifanyi biashara ya utapeli na wala sioni sababu ya kutapeli hela ya mtu, siwezi kukataa kwamba matapeli hawapo ila mimi siyo tapeli.

Kwa wale wahitaji wasihofu kuhusu uhalali , zipo njia nyingi za kujiridhisha zaidi ya serikali ya kijiji.

Kwa mtu makini huwezi kununua ardhi na ukaishia kujiridhisha kwenye serikali ya kijiji, you have to go extra mile beyond that!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom